Poleni wanaume mliooa ambitious women

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
26,117
49,475
Kwanza kabisa,Poleni kwa misiba mizito inayoendelea,

Pili nawapongeza na kuwapa pole wale wanaume waliooa wale wanawake tunaowaita ambitious women

Wanawake wanaojiangalia wao, wanawake wenye malengo makubwa makubwa, wanawake wasioweza kuvumilia shida , Yaani wao pesa mbele Kama tai,

Huwa nawaonea huruma hawa wakinababa, maanake inabidi upambane ya hela yote uweze kufit kwenye nafasi ya kumiliki ambitious woman,

Sasa bora awe ni mchepuko, akiwa mke wa Ndoa ya Kikristo mwanaume utaamua ukae nyuma Kama mkia au ukimbie nyumba,

Ambitious women hawana masikhara , mume hatakiwi kukosa wala kupungukiwa, mume hatakiwi kuugua, mwanaume unatakiwa kuwa full time provider bila kukosa.

Nachowapendea ambitious women hawaogop kuwa single mothers kabisa kwa sababu wanaamini wapo vizuri kwenye kujitafutia, wana mandoto makubwa makubwa na wanawaza mafanikio (financially) 24/7,

Kwa mwanaume yoyote Mwenye mke wa namna hii , leo natoa pongezi zangu kwake
Na kukuusia uzidi kupambana, ambitious women ni wazuri kwa future Ya wanao
 
Screenshot_20230510-233754~2.png
 
Ambitious women hawana masikhara , mume hatakiwi kukosa wala kupungukiwa, mume hatakiwi kuugua, mwanaume unatakiwa kuwa full time provider bila kukosa.
Sasa yeye ni ambitious woman harafu anataka Mwanaume awe full Provider??😅😅😅

Sasa kuna tofauti gani na Goal keeper( jina baya hili kutamkwa na mimi).

Maisha yenyewe mafupi badala nioe mke wa kunipa Raha nami nikampa pesa nijitakie sifa eti naoa ambitious woman full stress kisa naridhisha community??

Nilikataaga hup ujinga mie.
 
Sasa yeye ni ambitious woman harafu anataka Mwanaume awe full Provider??

Sasa kuna tofauti gani na Goal keeper( jina baya hili kutamkwa na mimi).

Maisha yenyewe mafupi badala nioe mke wa kunipa Raha nami nikampa pesa nijitakie sifa eti naoa ambitious woman full stress kisa naridhisha community??

Nilikataaga hup ujinga mie.
Mimi binafsi nipo tayari kuoa mwanamke atakayenipa raha awe nyumbani tu Hana kazi namletea sio naoa nesi mwisho wa siku Nakuja kuandika nyuzi huku JF kuwa naachiwa mtoto nilale naye usiku yeye ameenda night shift.
 
Back
Top Bottom