Poleni wanaume mliooa ambitious women

Poleni wanaume mliooa ambitious women

Ndio maana nikasema huwezi kunielewa, ni rahisi kuwaseti hawa maana ni wife material kweli, wanajuwa kupika, sex kwao ni passion hawezi kukwambia amechoka anaenjoy yani.

Unachotakiwa uingie naye mkataba sitaki ABC na umdhibiti basi hapo umeshinda utakula maisha haswa.
Hawa akina mwajuma ndala ndefu wapo poa sana waelewa sana kwenye mahusiano akikukubali hawana mambo mengi
Yaani mkiwa pamoja mna discuss tu simple things 😄
 
Kwanza kabisa,Poleni kwa misiba mizito inayoendelea,

Pili nawapongeza na kuwapa pole wale wanaume waliooa wale wanawake tunaowaita ambitious women

Wanawake wanaojiangalia wao, wanawake wenye malengo makubwa makubwa, wanawake wasioweza kuvumilia shida , Yaani wao pesa mbele Kama tai,

Huwa nawaonea huruma hawa wakinababa, maanake inabidi upambane ya hela yote uweze kufit kwenye nafasi ya kumiliki ambitious woman,

Sasa bora awe ni mchepuko, akiwa mke wa Ndoa ya Kikristo mwanaume utaamua ukae nyuma Kama mkia au ukimbie nyumba,

Ambitious women hawana masikhara , mume hatakiwi kukosa wala kupungukiwa, mume hatakiwi kuugua, mwanaume unatakiwa kuwa full time provider bila kukosa.

Nachowapendea ambitious women hawaogop kuwa single mothers kabisa kwa sababu wanaamini wapo vizuri kwenye kujitafutia, wana mandoto makubwa makubwa na wanawaza mafanikio (financially) 24/7,

Kwa mwanaume yoyote Mwenye mke wa namna hii , leo natoa pongezi zangu kwake
Na kukuusia uzidi kupambana, ambitious women ni wazuri kwa future Ya wanao [emoji28]
Tunao ila kikubwa ni kuwa na sharp mind! Huwezi kushindana naye bali kuonesha umuhimu wako kwake. Lakini hii ni kwa kila binadamu, atakupenda au kukuvumilia kukaa nawe katika ndoa iwapo kuna faida anapata au anategemea kupata kutoka kwako. Kama anaona hakuna any added advantages, anakutosa jumla.
 
Hivi kuna mwanaume mwenye akili timamu anaoa mwanamke wa hivyo[emoji849]?hao wanapewaga hadhi ya mchepuko tuu...
 
Back
Top Bottom