Poleni wananchi kwa kujiokoa wenyewe: Mafuriko na Moto

Kamundu

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2006
Messages
3,091
Points
2,000

Kamundu

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2006
3,091 2,000
Nasikitika kuona Tanzania kutokuwa na idara imara ya kuokoa maisha ya watu.

Ndugu mmoja kaniambia kaokolewa na majirani kwenye mafuriko Dar cha ajabu hakuna kikosi cha zimamoto wala watu kutoka idara yoyote ya serikali imeenda kumsaidia kumuangalia wala nini.

Sasa tujiulize hizi idara zinafanya kazi gani. Ni kwamba hazijapewa pesa, hatuna vifaa au ni kwamba wana kila kitu lakini hawajui kazi yao?

Serikali wamekuwa wakaguzi tu lakini sio waokoaji. Tatizo lingine kila mapungufu tulionayo kuna watu watatetea badala ya kulalamika.

Zile namba zilizofunguliwa za ukipata tatizo unapiga zinafanya kazi gani?
 
Kamundu

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2006
Messages
3,091
Points
2,000

Kamundu

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2006
3,091 2,000
Jana pale Kigogo Sambusa wananchi wamekataa kuokolewa na kikosi cha Zimamoto baada ya nyumba zao kuzungukwa na maji wakidai hawataki kuacha vitu vyao ndani ya nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huyu baba yangu mdogo imebidi anipigie simu USA kuoma pesa kapoteza kila kitu na anasema majirani ndiyo waokoaji hakuna serikali wala nini
 
Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
5,463
Points
2,000

Ileje

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
5,463 2,000
Kamundu,
Siku hizi fedha zote za serikali ni mali ya Rais, hivyo matumizi yote yanaamuliwa na yeye hata kama hayajaidhinishwa na bunge! Kwa hiyo acha kulaumu watumishi wa serikali, kwani na wao wanasubiria maelekezo.
 
mushairizi

Senior Member
Joined
Nov 27, 2011
Messages
196
Points
250

mushairizi

Senior Member
Joined Nov 27, 2011
196 250
Nasikitika kuona Tanzania kutokuwa na idara imara ya kuokoa maisha ya watu. Ndugu mmoja kaniambia kaokolewa na majirani kwenye mafuriko Dar cha ajabu hakuna kikosi cha zimamoto watu idara yetote y serikali imeenda kumsaidia kumwangalia wala nini. Sasa tujiulize hizi idara zinafanya kazi gani. Ni kwamba hazijapewa pesa, hatuna vifaa au ni kwamba wana kila kitu lakini hawajui kazi yao. Serikali wamekuwa wakaguzi tu lakini sio waokoaji. Tatizo lingine kila mapungufu tulionayo kuna watu watatetea badala ya kulalamika. Zile namba zilizofunguliwa za ukipa tatizo unapita zinafanya kazi gani?
Tatizo jingine wakiambiawa msijenge mabendeni hawakubali yakiwapata mafuriko wanalalama hakuna msaada wakati walikwishaambiwa au kujenga kiholela ili majanga ya moto yakitekea basi zimamoto wawezekufika kwa haraka lakini hawakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
macson3

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2017
Messages
792
Points
1,000

macson3

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2017
792 1,000
Wataendelea kulaumu na kufa pia kama hawataki kutoka sehemu hatarishi,kila siku serikali inasisitiza watu wahame ila hawataki sa serikali ifanyaje?
NB: Wanaweza kuendelea kuishi maana hata serikali yenyewe imejenga kituo Jangwani wakati wanajua hapafai.

macson
 
Kamundu

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2006
Messages
3,091
Points
2,000

Kamundu

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2006
3,091 2,000
Mimi nafikiri hakuna ubunifu kuna JKT, kuna asikari kibao pale Lugalo wanashinda kupalilia bustani pale siku nzima wakati wananchi wanaowalipa wako kwenye mafuriko, magari ya jeshi yame park na kutengenezwa kwa kuchakaa mengi bila kutumika, tunafumdisha ukakamavu JKT kwanini yakitokea majanga wasiletwe hata kwa muda mbona korosho walienda kubeba wataahidwa kubeba watoto
 
crocodile

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
2,484
Points
2,000

crocodile

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
2,484 2,000
Tatizo jingine wakiambiawa msijenge mabendeni hawakubali yakiwapata mafuriko wanalalama hakuna msaada wakati walikwishaambiwa au kujenga kiholela ili majanga ya moto yakitekea basi zimamoto wawezekufika kwa haraka lakini hawakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kuna tatizo la kukariri pia. Siku hizi mvua zikinyesha Dar popote pale panaweza kufurika, mfano makutano Nssf, Kijitonyama, Mbezi-chini n.k.
 
rubii

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
11,467
Points
2,000

rubii

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
11,467 2,000
Yaani huyu baba yangu mdogo imebidi anipigie simu USA kuoma pesa kapoteza kila kitu na anasema majirani ndiyo waokoaji hakuna serikali wala nini
Kumbe umehadithiwa na mtu anayekuomba hela??? Wewe mpe tu ikiwezekana muhamishe hapo kigogo tofauti na hapo kila mwaka atakupigia simu kukuonba pesa mvua ikinyesha
 
rubii

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
11,467
Points
2,000

rubii

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
11,467 2,000
Mimi nafikiri hakuna ubunifu kuna JKT, kuna asikari kibao pale Lugalo wanashinda kupalilia bustani pale siku nzima wakati wananchi wanaowalipa wako kwenye mafuriko, magari ya jeshi yame park na kutengenezwa kwa kuchakaa mengi bila kutumika, tunafumdisha ukakamavu JKT kwanini yakitokea majanga wasiletwe hata kwa muda mbona korosho walienda kubeba wataahidwa kubeba watoto
Hao wanaoishi kando ya mito wamefanya ubunifu gani sasa???
 
rubii

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
11,467
Points
2,000

rubii

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
11,467 2,000
Wakati watanzania wengine wako kwenye mafuriko watu wengi wanajali zaidi siasa wakati hawa ni walipa kodi
mjomba kakuomba tena hela???
Mi nilikushauri pale anapoishi ni mtoni usipomuhamisha kwa mwaka si chini ya mara3 atakuomba tu hela
 
bibinnaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Messages
1,485
Points
2,000

bibinnaa

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2017
1,485 2,000
Hili tatizo lipo tokea enzi ya Baba yake January,Mzee wetu Yussuf Makamba alipokuwa RC wa Dar,imagine ni miaka mingapi imepita na ma RC wangapi wamepita.
Tusiwape lawama waliopo madarakani awamu hii,tujilaumu wenyewe kwa mengi na wala siyo kuishi mabondeni peke yake..
Tuwaambie bila kumumunya maneno hii ni mbaya na hii ni nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
3,764
Points
2,000

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
3,764 2,000
Nasikitika kuona Tanzania kutokuwa na idara imara ya kuokoa maisha ya watu.

Ndugu mmoja kaniambia kaokolewa na majirani kwenye mafuriko Dar cha ajabu hakuna kikosi cha zimamoto wala watu kutoka idara yoyote ya serikali imeenda kumsaidia kumuangalia wala nini.

Sasa tujiulize hizi idara zinafanya kazi gani. Ni kwamba hazijapewa pesa, hatuna vifaa au ni kwamba wana kila kitu lakini hawajui kazi yao?

Serikali wamekuwa wakaguzi tu lakini sio waokoaji. Tatizo lingine kila mapungufu tulionayo kuna watu watatetea badala ya kulalamika.

Zile namba zilizofunguliwa za ukipata tatizo unapiga zinafanya kazi gani?
Huyu mtu anapaswa kumshukru mheshimiwa rais wa awamu ya tano kwa juhudi zake maana amewapa majirani zake roho nzuri na moyo wa upe do otherwise alikuwa asombwe
 
Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
6,396
Points
2,000

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
6,396 2,000
Wataendelea kulaumu na kufa pia kama hawataki kutoka sehemu hatarishi,kila siku serikali inasisitiza watu wahame ila hawataki sa serikali ifanyaje?
NB: Wanaweza kuendelea kuishi maana hata serikali yenyewe imejenga kituo Jangwani wakati wanajua hapafai.

macson
Uko sahihi,huu ujenzi maeneo hatarishi kama mabondeni au karibu na mikondo ya maji bila kusahau ujenzi holela bila kufuata utaratibu unakwamisha uokoaji.
 
Forum statistics

Threads 1,388,908
Members 527,828
Posts 34,014,234
Top