Nasikitika kuona Tanzania kutokuwa na idara imara ya kuokoa maisha ya watu.
Ndugu mmoja kaniambia kaokolewa na majirani kwenye mafuriko Dar cha ajabu hakuna kikosi cha zimamoto wala watu kutoka idara yoyote ya serikali imeenda kumsaidia kumuangalia wala nini.
Sasa tujiulize hizi idara zinafanya kazi gani. Ni kwamba hazijapewa pesa, hatuna vifaa au ni kwamba wana kila kitu lakini hawajui kazi yao?
Serikali wamekuwa wakaguzi tu lakini sio waokoaji. Tatizo lingine kila mapungufu tulionayo kuna watu watatetea badala ya kulalamika.
Zile namba zilizofunguliwa za ukipata tatizo unapiga zinafanya kazi gani?