Poleni TISS tena... R.I.P "Dr"

Poleni TISS tena... R.I.P "Dr"

Status
Not open for further replies.
Curiosity is good but poking nose is bad, Teamo and the rest in darkness on this issue note that it's just safer for you that way, I mean the less you know the better. And for you MM, excess spillage may cause a breach of code 6, so take care of the stretch you cover, don't forget 'karanga zikichelewa kuiva zinawekwa pembeni...watu waendelee na kazi'. Thanks for your understanding, at one time or the other we'll all rest in peace!
noted mkuu!...
ahante sana
 
Hivi jaman hamjui kibunango na maswali yake? Anapenda sana kuichimba kiundani hii idara sijajua kama ni Agent wa nchi fulani au la na maswali na thread anazoanzisha Huwa za kichokonozi zaidi ya mtu anayetaka kujua kawaida na sidhani kama anajua kuna madhara ya kutoa cover ya mtu maana anaweza kuleta athari mbalimbali zikiwemo kuvuruga wale wanaoendelea na kazi alizoziacha na hata kujulikana madhara aliyosababishia mahali husika
.

jamani hata kama tunawafahamu watu wa huko sio vema kuwaumbua hapa pasipo sababu yeyote ya msingi kwani kificho chao kinasaidia wakafanya kazi yao kwa ubora wa juu zaidi. Mtu aliyeniambia habari hii alinitajia jina la huyo Dr lakini kama alivyosema mwanakijiji tushiriki kumpumzisha Dr who katika mazishi ya usiri kama kazi yake inavyohitaji na ndio kiapo alichokula marehemu cha kutotaka kujulikana kazi yake mpaka kifo.
 
Uzuri wa thread kama hizi huwezi kuona vijana wa siku hizi hapa JF wakichangia..

Yoyo ukue sasa..

Mkuu M.M. With all due respect nilihudhuria mazishi ya mkuu huyu ..Taifa linazidi kupoteza watu makini sana...


On top of it nilikutana na vijana wapya kwenye idara ,maongezi yao tu inaonesha siku hizi hakuna vetting za kueleweka kabla watu hawajaenda Malindi
 
Mimi Nitawaheshimu majasusi wa Kitanzania pale watakapozuia haya


Kusaidia walala hoi kupata mlo bora na sio huu hapa pichani kwa kuzuia mikataba na viongozi fake



Je hii.............



Na wamshauri mh Rais kuhusu hali ya nchi kwa sasa....mfumuko wa bei migomo



Hya yapunguzwe



Wamfundishe itelijensia ya kweli



UMEME



Tuondokane na hii hali

 
Uzuri wa thread kama hizi huwezi kuona vijana wa siku hizi hapa JF wakichangia..

Yoyo ukue sasa..

Mkuu M.M. With all due respect nilihudhuria mazishi ya mkuu huyu ..Taifa linazidi kupoteza watu makini sana...


On top of it nilikutana na vijana wapya kwenye idara ,maongezi yao tu inaonesha siku hizi hakuna vetting za kueleweka kabla watu hawajaenda Malindi
Muulize mkeo.....
 
This post makes no sense to me, I'm sorry!! Hivi huyu mtu si alikuwa na familia yake, ndugu na jamaa? Sasa ni mpaka ajulikane na wananchi? Ili iweje? Kutegemea na jinsi alivyoishi na watu, japokuwa alikuwa usalama wa taifa, na ndivyo atakavyokumbukwa na kuzikwa na ndugu, jamaa, na marafiki waliomjua kikwelikweli.

The person is dead, and I am sure he was burried by people who loved him and knew him well, in spite of the work and or job he did.

My opinion, and I am entitled to it.
 
Mkuu Dr Kitine nakutana naye kwenye Raia Mwema kila wiki, ana makala yake inaitwa "Msomaji Raia" kwa tafsiri zangu naamini yeye ndiye mwandishi wa makala hizi ingawaje yeye haweki jina lake

Acha kusingizia watu na makala kama huna uhakika na kama kaficha jina lake wewe mbona unamuumbua hapa, nani kakwambia hayo au wewe ndiye Dr Kitine mwenyewe?
 
Wanaotakiwa kusikitika zaidi kwenye misiba ya watu wa TISS ni viongozi wa nchi kwa vile hicho kitengo kinalinda viongozi watoto wao pamoja na chama tawala, kama wanabisha waseme Dowans, Meremeta sijui RADAR akina Kiwira walikuwa wapi kipindi wanajipenyeza kwenye jeshi na mambo ya EPA.(Mikataba feki)

Hakuna nchi yeyote Africa Mashariki na kati inayo keep maharamia kama Tz hususani k'koo na maeneo ya kisiwa cha Pemba walikuwa wapi mpaka hawa watu wanaingia?

Kwa nini Tanzania ndio gate way ya madawa ya kulevya kuelekea nchi za Europe na maeneo mengine je wao hawawajui wahusika?

Au kazi yao ni excution ya wafia nchi.................Msinipandishe hasira bure mkaanza na mimi pia
.

Na wewe .... Rest In Peace (RIP).....unatutoa kwenye mada kuu unatupeleka kwingine wakati tunaongelea msiba hapa
 
.

Na wewe .... Rest In Peace (RIP).....unatutoa kwenye mada kuu unatupeleka kwingine wakati tunaongelea msiba hapa

We mama jiheshimu soma vizuri na uelewe, kama jina lako lilivyo fofofo ni sawa na ubongo wako. Waoi nimeenda nje ya mada?
 
Mkuu Dr Kitine nakutana naye kwenye Raia Mwema kila wiki, ana makala yake inaitwa "Msomaji Raia" kwa tafsiri zangu naamini yeye ndiye mwandishi wa makala hizi ingawaje yeye haweki jina lake

Dr Kitine kwenye RaiaMwema? Hakuwahi na hatamsamehe Jenerali enzi zile za Rai nguvu ya Hoja na sakata la mke wa Kitine na matibabu feki kule Marekani yaliyosababisha Dr Kitine aachie ngazi ya Uwaziri na kuzama kusikojulikana kisiasa.
 
jamani mi namtaja jina maana sioni sababu ya kuendelea kuficha jina lake anaitwa

DR. HERI LUPEMBE alifaliki ghafla akiwa ofisini kwake kwa kweli ni pigo. na asante mwanakijiji nilikuwa najiuliza mbona hawatangazi kifo chake. du R.I.P Dr. Lupembe
 
Unapotuhabarisha juu ya msiba halafu aliyekufa usimtaje bora ungeenda ukamwona mjane wake na jamaa zake halafu yakaisha!? Au ndio kutafuta kujua wanaojua kama wewe?
 
Amen - Hivi code 6 inazuia kutaja jina la operative hata kama ametangulia mbele ya haki? hebu nimuulize Dr "D" kwa ufafanuzi zaidi...
 
jamani mi namtaja jina maana sioni sababu ya kuendelea kuficha jina lake anaitwa

DR. HERI LUPEMBE alifaliki ghafla akiwa ofisini kwake kwa kweli ni pigo. na asante mwanakijiji nilikuwa najiuliza mbona hawatangazi kifo chake. du R.I.P Dr. Lupembe
Poleni Sana TISS kwa Kumpoteza Dr aliekuwa kabobea kwenye Ujasusi. Lakini hii ni hatari inayowanyemelea TISS, huyu jamaa keshakuwa exposed Tayari....so kama kulikuwa na mtu aliyekuwa anamuhisiahisia sasa nadhani kesha confirm.
 
fair_game.jpg

93702815.JPG
 
Kibunago, nimekupata vizuri lakini lengo langu kwa bahati mbaya ni kugusa hasa nafasi yake katika utumishi wa Taifa letu. Nafasi ambayo huwa hawatunzwi. Nataka familia na watu wa karibu wanaomjua wajue kuwa some of us tunaappreciate his service to the nation.

hivi hiyo service aliyoitoa to the nation inajulikanaje?......mi nilidhani kazi zake ni siri?....au kuna wasifu unatembea ndani ya mjengo?
 
1.MKJJ yuko katika payroll (isiyo rasmi) ya Serikali yetu katika kazi ya usalama wa Taifa. Sio rasmi kwani ajira yake na majukumu yake hayafuati muundo wa kawaida(organogram) uliopo kitu ambacho kina utata hasa inapokuja katika uajibikaji wake na pia ulipwaji wa maslahi yake.
2. MKJJ ni mhitimu wa shahada ya kwanza (BA in Political Science)- Tanzania na pia Shahada ya uzamili (MA in Mass Communication & Media Arts)- USA. Baadaye alifaulu vizuri sana mafunzo ya upelelezi (Intensive course in Nationalism & Espionage) – Cuba chini ya Mwalimu wake gwiji aliyempenda sana kwa jina Mosses Powel . Hii inaeleza sababu ya MKJJ kupewa nafasi ya kuwa muhudumu (Usher) mmojawapo katika mazishi ya Powell 22.01.2005. Alipelekwa pia Trinidad & Tobago kwa ajili ya mafunzo ya ukakamavu na ulinzi wa kujikinga chini ya kitivo cha Powell ambaye ndiye mwanzilishi wa mashambulizi ya Sanuces Ryu Jujutsu lakini bahati mbaya MKJJ hakuwa mzuri sana katika somo hili.
MKJJ baada ya kushauriwa , alichagua kuendelea zaidi kubobea katika mbinu za kipepelezi za steganografia (steganography), Saitografia (Cytography) na Utafiti (Research) siraha zilizompa nafasi kupata mazoezi kwa njia ya vitendo katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Ministry of Defence).
3. Kwa sasa MNKJJ anafanya kazi ya kunusa na kuwachanganya Watanzania kwa kuandika na kuongea kwa style ya kukandia Serikali kwa sana kupitia majamvi na majukwaa mbalimbali kama vile JF na magazeti mbalimbali yaliyo katika mtandao.
4. Kwa kutumia utaalamu wake wa sanaa na fani ya uandishi na utangazaji, MKJJ anajificha ndani ya mbinu ya kijasusi ijulikanayo kama ‘The Italian Strategy of Tension with False Flag’. Ingawa ni mwanachama CCM lakini anapokuwa mtandaoni huvaa ngozi ya mbwa mwitu na kujiita Mkuu wa Taasisi ya Kitanzania ya Demokrasia, Maendeleo na Amani (TAKIDEMA). Kazi zake ni kama ifuatavyo:-
a. Kuanzisha mada chokozi (provocative topics) zenye kuleta hisia kali akisukuma makombora kwenye Serikali ikiwa ni namna ya kuwachokoza wananchi ili mnapoanza kusema au kuandika basi yeye anachukuwa notisi zake na kuwakabidhi waliomtuma kwa ajili ya kurekebisha panapotakiwa haraka iwezekanavyo. Hadhira yake kusudiwa ni hasa Watanzania walioko nje na hususani wasomi ambao wanaweza kuleta upinzani. Wachache walimshtukia alipopinga kinamna kuruhu suala la Uraia wan chi mbili !! sababu iko wazi nayo ni “you are either with us or against us!

Yo Yo, Du...! Hii kali!.
Humu ndani, umeweka facts and figures as if ni kweli!, kama ni kweli, its not fair ku mu unmask the masked oparatives, utahatarisha sio tuu usalama wa taifa lako, bali pia usalama wake mwenyewe.

Mode: Naomba hiki kipande cha Yoyo kifute haraka kabla hakijaleta madhara.
Mzee Mwanakijiji: Unaweza kunyamaza na ku ignore this as crap if its a crap and it will go away. If it not, you also don't have to say a thing, waelewa tutakuelewa, japo uwongo ukirudiwa huonekana kama ni ukweli.

Nakumbuka mwaka jana, baada ya member mmoja ku mua un mask FMES jamaa alifungasha rasmi never to return to jf na makali yake, siku hizi akiibuka ni kutuma tuu salama that he/she is still alive!

Naomba usitupotezee Mzee Mwakijiji wetu!.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom