Mpambanaji K
Member
- Dec 29, 2008
- 84
- 6
MM mi natamani sana kujiunga na TISS ili niweze kulitumikia Taifa langu hasa kwa wakati huu uliojaa changamoto za kifisadi, nifanyeje?
Unachekesha sana, ndg yangu ingekuwa ni miaka ya 80 hilo lingewewezekana, lakini kwa sasa ni mitoto ya mifisadi ndiyo ina fursa ndani ya idara hiyo.MM mi natamani sana kujiunga na TISS ili niweze kulitumikia Taifa langu hasa kwa wakati huu uliojaa changamoto za kifisadi, nifanyeje?
Kibunago, nimekupata vizuri lakini lengo langu kwa bahati mbaya ni kugusa hasa nafasi yake katika utumishi wa Taifa letu. Nafasi ambayo huwa hawatunzwi. Nataka familia na watu wa karibu wanaomjua wajue kuwa some of us tunaappreciate his service to the nation.
Uko kitengo gani TISS?Kwa mara nyingine, ninakuja na kutoa rambirambi kwa Idara ya Usalama wa Taifa kwa kumpoteza mmoja wa viongozi wa waandamizi ambao kwa kweli walikulia ndani ya Idara hiyo. Ni pigo kubwa kwa idara hasa kuondokewa na watu wenye weledi na waliojitahidi kufanya kazi yao licha tofauti ambazo zimekolezwa miaka hii michache iliyopita.
Bahati mbaya kutokana na kazi zao watu kama Dr. ni vigumu kuwaona viongozi wa kitaifa wakijitokeza kwenye misiba yao kwani wanalindwa na sheria ya TISS ya 1996. Ni hawa ambao majina yao na sifa za utumishi wao haziandikwi magazetini au hawawezi kuja na kulalamika hadharani jinsi mambo yalivyo magumu kitaifa. Ni hawa ambao huwa wanajikuta wananyong'onyea katika kuta za nyumba zao wasijue wafanye nini. Hawa wasio na watetezi wa wazi.
Na hii ndio sababu siwataji hawa wazee wetu ambao wametumikia taifa katika nafasi mbalimbali na hawakukubali kuwa corrupted kama kundi la baadhi ya vijana ambao wameingia kwenye idara siku za karibuni na sasa wamegeuka kuwa mabepari uchwara.
Natumaini siku moja idara hii itakuja kufanyiwa maboresho yanayohitajika haraka ili watu kama marehemu wazidi kuvutiwa kulitumikia taifa.
RIP - Amezikwa makaburi ya Kinondoni katikati ya mwezi wa kwanza baada ya kulitumikia taifa kwa muda mrefu na kwa uadilifu.
RIP Dr..
ok okDu hii sheria labda tuisome vyema sote na kuomba msaada wa tafsiri Mahakamani:
Ningekuwa mimi ningeminya tu kutamka kuwa alikuwa ktk TISS na badala yake ningetaja jina lake wazi hapa na watu wangeendelea kutoa pole zao na faraja kwa wafiwa kama kawa. Maana jina lake linabeba Utu wake unaostahili kutambuliwa pasipo kujali alikuwa wapi kikazi au mwajiri wake alikuwa nani.
Aidha kama mpaka anafariki kweli kwa ujumla hakujulikana katika jamii kuwa alikuwa Intelligence Officer or Agent wa TISS basi jina lake lingetajwa tu hadharani hapa na kazi yake (Cover Design) ambayo kwayo jamii ilimfahamu na kumwona alivyokuwa akiwajibika ipaswavyo katika hiyo huduma nyingine aliyokuwa akiitoa katika jamii kama Mwanasheria au Daktari au Mkufunzi au mfanya biashara n.k
RIP M.
Uko kitengo gani TISS?
RIP Lupembe
Mmh.. sijataja jina na no siyo hilo labda kuna mwingine.
Nadhani MM anayemzungumzia ni MkristoMkuu Mie kuna mmoja nimekuwa nikisali nae msikitini alikuwa ni mzee mmoja mwadilifu sana na mzalendo mwenye uchungu wa kweli na nchi. Kwa kweli nilikuwa namuadmire sana kama ndio huyo basi tumeondokewa na kifaa na wengi walikuwa hawamjui kweli.
Wapi alipotaja kuwa ni mkristo???Nadhani MM anayemzungumzia ni Mkristo
Its so touching mkuu, apumzike kwa amani!
Hakutaja, ila ninamfahamu fika DR huyo for the last 20 yrsWapi alipotaja kuwa ni mkristo???
Ni siku nyingi kidogo simsikii Dr Hassy Kitine akizungumzia lolote nchi.
Hivi yupo Tanzania hii hii na wala asiseme neno kuhusu upepo wa mabadiliko nchi ninavyomjua msimamo aliyonayo juu ya mambo mengi yanayogusa jamii kitaifa????????