Poleni TISS tena... R.I.P "Dr"

Poleni TISS tena... R.I.P "Dr"

Status
Not open for further replies.
Ni siku nyingi kidogo simsikii Dr Hassy Kitine akizungumzia lolote nchi.

Hivi yupo Tanzania hii hii na wala asiseme neno kuhusu upepo wa mabadiliko nchi ninavyomjua msimamo aliyonayo juu ya mambo mengi yanayogusa jamii kitaifa????????

Hupo dunia ya ngapi ndugu yangu, soma soma magazeti. Mwadilifu yeyote hawezi kukaa kimya kama kuna uozo ndani ya CCM na serikali yake. Juzi juzi tu kabla ya uchaguzi Dr. Kitine alikwaruzana na CCM, This day likatuhabarisha. Kwa maelezo zaidi gonga chini hapo...
http://www.thisday.co.tz/?l=10939
 
Pole wafiwa and RIP mzee wetu...

To be honest kwa jinsi nilivyochoka na hali ya nchi yetu naona hata hiyo TISS kwangu ni another bureaucratic chapter inayoongozwa kwa remote na wenye pesa in the name of confidentiality.... wanaisha wote wenye maadili, wanakuja wale wa style ya Haiti

I wish kama ningeweza kupanga jinsi gani wawe wanaondoka, basi ningeaza na wapya wabaki wa zamani
 
Unamfahamu mkuu?...
naomba unipm unijulishe ni nani huyo?
 
Ni siku nyingi kidogo simsikii Dr Hassy Kitine akizungumzia lolote nchi.

Hivi yupo Tanzania hii hii na wala asiseme neno kuhusu upepo wa mabadiliko nchi ninavyomjua msimamo aliyonayo juu ya mambo mengi yanayogusa jamii kitaifa????????

Mkuu Dr Kitine nakutana naye kwenye Raia Mwema kila wiki, ana makala yake inaitwa "Msomaji Raia" kwa tafsiri zangu naamini yeye ndiye mwandishi wa makala hizi ingawaje yeye haweki jina lake
 
genekai (Today), GodfreyTajiri (Today), Iteitei Lya Kitee (Today), Kiresua (Today), Maria Roza (Today), Mordekai (Today), mwanatanu (Today), oba (Today), Ole (Today), Pasco (Today), Safari_ni_Safari (Today), wit (Today),Derimto Mzee wa Rula Pilato2006 mchekechoni rmb Akili Unazo! mperwa Tristan Sabasaba Ntemi Kazwile FREDOMFIGHTER Chief Maarifa carefree STEIN simanjiro amagoma obseva Mutu J Mbungi PatriotMzalendo Babkey Mtumpole ral IsayaMwita fangfangjt simba mangu Kinyambiss mbishi THE GAME
poleni sana wakuu wangu!
R.I.P anonymous
 
Huyu Dr. amekufa, kwani akifa si mnaweza taja jina tu? hata aliopokuwa akifanyia kazi? Vingine hii taaarifa msingeleta hapa
 
chief spy wa CIA na viongozi wa juu wa CIA marekani wako wazi zaidi kuliko hata hapa Tanzania, na hivyo hivyo, viongozi waandamizi wa TISS ni watawala sio kundi la kufanya operesheni hivyo ni jambo la kawaida duniani kote kukuta wanafahamika na wengine uteuzi wao huithinishwa na bunge ili kukazia uteuzi wao jambo ambalo linawafanya kuwa wazi zaidi.
 
kwani Kitine amekufa; na Kitine anajulikana mbona kwa muda mrefu tu.

sasa who is this anonymous creature?
and why hiding?
and if hiding WHY POSTING?
i ain't get it,though these people get it (i just assume):

genekai (Today), GodfreyTajiri (Today), Iteitei Lya Kitee (Today), Kiresua (Today), Maria Roza (Today), Mordekai (Today), mwanatanu (Today), oba (Today), Ole (Today), Pasco (Today), Safari_ni_Safari (Today), wit (Today),
 
Wanaotakiwa kusikitika zaidi kwenye misiba ya watu wa TISS ni viongozi wa nchi kwa vile hicho kitengo kinalinda viongozi watoto wao pamoja na chama tawala, kama wanabisha waseme Dowans, Meremeta sijui RADAR akina Kiwira walikuwa wapi kipindi wanajipenyeza kwenye jeshi na mambo ya EPA.(Mikataba feki)

Hakuna nchi yeyote Africa Mashariki na kati inayo keep maharamia kama Tz hususani k'koo na maeneo ya kisiwa cha Pemba walikuwa wapi mpaka hawa watu wanaingia?

Kwa nini Tanzania ndio gate way ya madawa ya kulevya kuelekea nchi za Europe na maeneo mengine je wao hawawajui wahusika?

Au kazi yao ni excution ya wafia nchi.................Msinipandishe hasira bure mkaanza na mimi pia
 
Na mimi nilisikia kifo cha huyu Dr aliyekuwa amebobea kwenye ujasusi wa kiuchumi ( Economic espinedge), ni pigo kubwa kwa usalama wa taifa kutokana na kuondokewa na mtu huyu. Nimeelezwa Dr alikuwa ni mmoja wa kundi la mwanzo la wasomi wa TISS walioingia miaka ya sabini mwanzoni na ndio walioongeza sifa za taasisi hiyo ndani na nje ya nchi. Kuna bwana mmoja anafanya kazi huko anasema amekufa maskini lakini amelitumika taifa kwa uzalendo wa hali ya juu ingawa angeweza kufanya kazi mahali pengine na kulipwa vizuri zaidi lakini alichagua kazi hiyo kwa moyo wa uzalendo
 
Mtajeni basi. Vinginevyo tuambiwe kama ni Dr Remmy Ongala.
 
Curiosity is good but poking nose is bad, Teamo and the rest in darkness on this issue note that it's just safer for you that way, I mean the less you know the better. And for you MM, excess spillage may cause a breach of code 6, so take care of the stretch you cover, don't forget 'karanga zikichelewa kuiva zinawekwa pembeni...watu waendelee na kazi'. Thanks for your understanding, at one time or the other we'll all rest in peace!
 
Wanaotakiwa kusikitika zaidi kwenye misiba ya watu wa TISS ni viongozi wa nchi kwa vile hicho kitengo kinalinda viongozi watoto wao pamoja na chama tawala, kama wanabisha waseme Dowans, Meremeta sijui RADAR akina Kiwira walikuwa wapi kipindi wanajipenyeza kwenye jeshi na mambo ya EPA.(Mikataba feki)

Hakuna nchi yeyote Africa Mashariki na kati inayo keep maharamia kama Tz hususani k'koo na maeneo ya kisiwa cha Pemba walikuwa wapi mpaka hawa watu wanaingia?

Kwa nini Tanzania ndio gate way ya madawa ya kulevya kuelekea nchi za Europe na maeneo mengine je wao hawawajui wahusika?

Au kazi yao ni excution ya wafia nchi.................Msinipandishe hasira bure mkaanza na mimi pia

The Following User Says Thank You to Nguli Jabali For This Useful Post:
Teamo (Today)
 
Dah, hivi mtu akishafariki bado anaendelea kuwa agent mpaka ahera???
nadhani ilikuwa enzi zile za vita baridi kuficha details hata mtu akigoshora.
Mungu wafariji wafiwa.
Amen
 
Curiosity is good but poking nose is bad, Teamo and the rest in darkness on this issue note that it's just safer for you that way, I mean the less you know the better. And for you MM, excess spillage may cause a breach of code 6, so take care of the stretch you cover, don't forget 'karanga zikichelewa kuiva zinawekwa pembeni...watu waendelee na kazi'. Thanks for your understanding, at one time or the other we'll all rest in peace!

:coffee::coffee::coffee::coffee:
 
Idara za ujasusi zinaweza kuficha jina halisi la mtu hata likitajwa hapa unaweza kukuta ni la kificho lakini ni kweli msiba wa jasusi mwenye elimu ya PHD na aliyeandika vitabu vingi vya mambo ya ujasusi aliaga dunia mwezi wa kwanza kwa habari ambazo zilizagaa katika mitaa lakini pasipo mtu yoyote kudhibitisha. Nasikia mazishi yake yalijawa na usiri wa hali ya juu sana ili marehemu asitangazwe kama ilivyo kwa wanasiasa, hata hivyo alizikwa kwa heshima kubwa ya kiongozi mwandamizi wa Idara hiyo nyeti ya Taifa. hata viongozi wakuu wa kitaifa waliokwenda kumzika hawakutangangazwa bali ni barabara tu zilikuwa zinasafishwa kuelekea makazi yake na mwisho mazishi yake. Hakuna mwandishi wa habari aliyeruhusiwa kupiga picha kwani picha zote zilikuwa zinapigwa na majasusi wenyewe kwa kumbukumbu zao. Tumesikia Ulinzi ulikuwa mkali kudhibiti habari za kuvuja au kumtambua jasusi mahili aliyeaga dunia baada ya kulitumika taifa kwa weredi wa hali ya juu na kwa kificho kikubwa hadi anakata roho ya kizalendo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom