poleni ndugu zetu wa zanziber kwa msiba mkubwa uliowapata

S84

New Member
Sep 11, 2011
1
0
Ndugu zangu watanzania ninamasikitiko makubwa kwa kile kilichotupata juzi, mamia ya watu wamepoteza maisha tu kwa ajiri ya maslai ya watu wachache wenye tamaa ya pesa za haraka tena wasio na utu na sielewi mambo haya lini ni mwisho maana kama fundisho tulishalipata kwenye mv bukoba lakini htutaki kubadilika haya sasa watoto, wazee wasiona hatia wanapoteza maisha bure kwa kile kina chodaiwa tamaa ya pesa
wamiliki wa vyombo vya usafili wa majini acheni kucheza na maisha ya watu. Ivi ikitokea mtu akicheza na maisha yako ww mwenye meli ungemfanyaje? Sas jibu la hili ndivyo na wewe unastaili kufanywa
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,poleni sana ndugu zangu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom