Poleni Makete kwa hili baridi la Centigrade 8

Poleni Makete kwa hili baridi la Centigrade 8

The oris

Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
91
Reaction score
167
Nipo Makete leo kikazi lakini baridi la huku ni hatari, sijawahi kuona baridi kama hili la Centigrade 8.

Nimejaribu kucheki kanda nyingine lakini haijafikia balaa la Makete.

Iringa 15C
Mufindi 10C
Mafinga 11C
Lushoto 12C
Mbinga 15C
Rungwe 13C
Makambako 12C
Njombe 11C
Arusha 16C
Babati 16C
Monduli 15C
Machame 12C
Makete 8C

Kwa hali hii Makete na Njombe wana haki ya kuongoza kwa idadi ya waathirika wa UKIMWI

UPDATE:

Sasa hivi ni saa 11 asubuhi imepanda mpaka 14 degrees Centigrade wenyeji wanasema sasa hivi afadhali ni joto wakati mimi bado nipo karibu na jiko na makoti 2.

Hii ni hatari jana nilienda haja kubwa nilichambia makaratasi, maji hayashikiki balaa tupu.
 
Nipo makete leo kikazi lakini baridi la huku ni hatari,sijawahi kuona baridi kama hili.centigrade 8.
Nimejaribu kucheki kanda nyingne lakini haijafikia balaa la makete.
Iringa 15c
mufindi 10c
mafinga 11c
lushoto 12c
mbinga 15c
rungwe 13c
makambako 12c
njombe 11c
arusha 16c
babati 16c
monduli 15c
machame 12c
MAKETE 8c.
Kwa hali makete na njombe wana haki ya kuongoza kwa idadi ya waathirika wa ukimwi
8C ni baridi ya Hatari sana poleni sana watu Wa Makete.
 
Nashangaa sana hii hali Mkuu, hata 18 Celsius sijaoga maji ya moto. Maji ya baridi ni afya sana kuogea ukilinganisha na ya moto. Shati/tshirt inatosha kabisa na usiku shuka moja tu.

Huku dar ikiwa 24 degree centrigrade tunaoga maji ya moto na kujifunika mablanketi na kuvaa majaketi
 
13fcd531a26ac5991c82c03497676fc5.png

Hii ndio kali zaidi niliyowahi kutana nayo humu nchini lakini sio MAKETE kwa mtoa mada.
 
Nipo makete leo kikazi lakini baridi la huku ni hatari,sijawahi kuona baridi kama hili.centigrade 8.
Nimejaribu kucheki kanda nyingne lakini haijafikia balaa la makete.
Iringa 15c
mufindi 10c
mafinga 11c
lushoto 12c
mbinga 15c
rungwe 13c
makambako 12c
njombe 11c
arusha 16c
babati 16c
monduli 15c
machame 12c
MAKETE 8c.
Kwa hali makete na njombe wana haki ya kuongoza kwa idadi ya waathirika wa ukimwi

Nia yako ilikuwa ni kutuhabarisha hali ya baridi kali lililopo huko Makete au kutaka tu kuwananga wana Makete na Njombe juu ya kuugua huo Ugonjwa wa UKIMWI / Dally Kimoko?
 
Nipo makete leo kikazi lakini baridi la huku ni hatari,sijawahi kuona baridi kama hili.centigrade 8.
Nimejaribu kucheki kanda nyingne lakini haijafikia balaa la makete.
Iringa 15c
mufindi 10c
mafinga 11c
lushoto 12c
mbinga 15c
rungwe 13c
makambako 12c
njombe 11c
arusha 16c
babati 16c
monduli 15c
machame 12c
MAKETE 8c.
Kwa hali makete na njombe wana haki ya kuongoza kwa idadi ya waathirika wa ukimwi
Sasa baridi ikizidi ndio waongeze waathirika wa ukimwi?

Mbona wenzetu wanaishi maeneo ya baridi zaidi ya hiyo ila hali hakuna maambukizi ya ukimwi?
 
Back
Top Bottom