Poleni Clouds, Ni wakati sasa msaada wa kisaikolojia utolewe kwa wafanyakazi

Toa kwanza msaada wa kisaikolojia kwa ndugu zako na familia yako hasa hsa ndugu zako kabisa wa familia na uko wako acha umbea na kujipendekeza kwa aina hii yaani wewe unataka kutwambia kwamba unawathamini na kuwapenda zaidi wafanyakazi wa clouds kuliko ndugu zako wa damu na uko. acheni unafiki na kujipendekeza watanzania p

A.........

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa una matatizo ya uelewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa una matatizo ya uelewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uelewa wa nini toa kwanza msaada kwa ndugu zako waliofiwa na ndugu zao ama ukoo wako waliofiwa na ndugu zao wa damu na wana uchungu wa kupindukia. Acha huu umbea wa kujipendekeza na unafiki wa kutaka kuonekana tunajali sana je unataka kusema watu wa clouds wewe unawapenda zaidi kuliko familia yako jibu ni hapana ndo maana nikakwambia acha umbea .

..
A......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa kwanza msaada wa kisaikolojia kwa ndugu zako na familia yako hasa hsa ndugu zako kabisa wa familia na uko wako acha umbea na kujipendekeza kwa aina hii yaani wewe unataka kutwambia kwamba unawathamini na kuwapenda zaidi wafanyakazi wa clouds kuliko ndugu zako wa damu na uko. acheni unafiki na kujipendekeza watanzania p

A.........

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako haiko sawa unahitaji msaada wa haraka sana kabla hujawa kichaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa kwanza msaada wa kisaikolojia kwa ndugu zako na familia yako hasa hsa ndugu zako kabisa wa familia na uko wako acha umbea na kujipendekeza kwa aina hii yaani wewe unataka kutwambia kwamba unawathamini na kuwapenda zaidi wafanyakazi wa clouds kuliko ndugu zako wa damu na uko. acheni unafiki na kujipendekeza watanzania p

A.........

Sent using Jamii Forums mobile app
amekuambia ndugu zake wanatatizo la depression..?
 
Anza na mimi sasa kunipa msaada wa kisaikolojia kabla ya kuleta unafiki wenu wa kujipendekeza kwenu kwamba mnawapenda zaidi watu wa clouds kuliko familia zenu na ndugu zenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
nani kakwambia ana apenda..?, nakuwapenda kuna ubaya..? hi imezungumzwa kama maoni, harafu sio kilakitu lazima uchangie unaweza mute tu
 
Uwongozi gani? Kiongozi wa uongozi wa juu kafa, unadhani nani wa kumjenga mwenzie kisaikojia? Kwa ufupi watu wote wa clouds hawako sawa, labda watu wa nje ya clouds kama MCT au wataalam wa saikoloji kutoka wizara ya habari.
wakumjenga mwenzake sio lazima atoke kwenye taasisi hiyo, mbona watu wengi na wataalamu wanafanya hizo kazi, mfn: yule faza Maziku muhadhiri wa SAUT wanaemualikaga kwenye PB anaweza kuwasaidia pia
 
Back
Top Bottom