Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,611
- 8,740
Poleni wasanii wote mliopitia ugumu wa clouds media kabla Youtube na stream nyingi kuibuka kuwakomboa.
Kiukweli wasanii wengi wamepitia kwenye changamoto sana media hii ikiambatishwa na mameneja wao pamoja na studio.
Haya yote kuona wasanii wengine kuibuka kwenye madawa,kuwa walevi,wengine kurudi kwenye dini,wengine kukubali matokeo na biashara wazijuwavo wao.
Wasanii wengi kipindi cha clouds media wametumika sana kwa ujira mdogo.
Mamilioni yaliyokusanywa na Fresta kupitia clouds na mambo mengine yamefaidisha clouds media.
Mumemaliza vipaji vya watu sana kwa kutumia media yenu mpaka ikafikia marehemu ruge kashikilia kila mziki na matakwa.
Ilifikia watangazi na madj wa redio ndio wakawa wanafanya nani msanii wa kutoka nani asitoke.
Mmefanya wasanii wengi kupotea mpaka wengine vifo kuwakuta.
Japo kuwa wasanii wanaogopa na washapotea wengine lakini kumbuka haki zenu mlizopoteza kuwa zimeacha alama ya mziki.