Poleee Madafuuu poleee, Wanapotunza na Dolaaa

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Jamani kutunza mpaka kwa dola kweli madafu yameshoka thamani...

vENTURE%252520KILOSa..jpg

Hapa mke wa Sharobaro wa Clouds DJ Ventune akitunza kwa madolari baada ya kupata mtoto wa kiume...
 
mbonaaa kawaaa 2...kuliko kubebaa lundo la pesaa,unatoaa noti mojaa dola 100,so freash 2
 
mbonaaa kawaaa 2...kuliko kubebaa lundo la pesaa,unatoaa noti mojaa dola 100,so freash 2

Pesa za kutunza mara nyingi sio nyingi kiasi hizo, wengi hutunza/toa sadaka buku 5-20 ni ubishoo tu; huwa nashangazwa sana kwenye makanisa ya wenye nazo wakitangaza matoleo utasikia Milioni 12, dola 230, pound 45, Ksh 20000 n.k
 
Hapa mke wa Sharobaro wa Clouds DJ Ventune akitunza kwa madolari baada ya kupata mtoto wa kiume...
Kiongozi ni kama AMEJITUNZA!!!!!??????
<!-- google_ad_section_end -->
 
Jamani kutunza mpaka kwa dola kweli madafu yameshoka thamani...

vENTURE%2520KILOSa..jpg

Hapa mke wa Sharobaro wa Clouds DJ Ventune akitunza kwa madolari baada ya kupata mtoto wa kiume...

kweli shilingi yetu imepoteza umaarufu nimeamini,naikumbuka ile "blue" (10,000 shs.) ya mkapa ilivyokuwa inatisha sokoni!wapi wekundu wa msimbazi siku hizi..?
 
Anamuonyesha mtoto wake tu kwani hapo nani anayetuzwa fedha hizo. Upotoshaji mwingine
 
Back
Top Bottom