Pole sana Tanganyika

Pole sana Tanganyika

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,616
Reaction score
830,353
A stolen sovereignty.. Hakuna marefu yasiyo na ncha

IMG-20260402-WA0000.jpg

Bei ya mafuta Zanzibar leo
 
Stolen sovereignty ? It wasn't.

It was surrendered sovereignty. We gave it away.

Mamlaka, amana, utajiri, na fursa za nchi tukasema tutagawana na ka kisiwa kasiko na mchango wowote kwetu.

Modern day Zanzibaris, the mold of Samia Suluhu Hassan, wanahakikisha mgawanyo huo ni nusu kwa nusu

Watetezi wa Mwalimu wananambia haikuwa nusu kwa nusu wakati wa Mwalimu.

Okay, alisimamia yeye binafsi yasiwe nusu kwa nusu.

Bado ni utopolo kichwani kwa Mwalimu, a fat headed blunder.

Kwa sababu ni doctrine ile ile ya wakati alivyosema ningekuwa fidhuli mngekoma, ningeweza kuwachinja kama kuku kwa kutumia katiba hii hii. Okay, tunaelewa. Ahsante Msamaria.

Sasa ulitegemea ukiondoka inakuwaje ????????? Calamitous and catastrophic stupidity.

Umetoka umeacha mfumo unasoma Rais anaweza kuagiza mlawitiwe wakati wowote lakini mimi naondoka sijawafira. Haya, polisi sasa wanasema Rais ameagiza watu wafirwe na wauliwe. Wakenya waliokamatwa Kempiski Hotel ndivyo walivyoambiwa. Nasema uongo ?????

Kwa hiyo Nyerere alitulinda tusibakwe na Wazanzibar lakini akatuacha tumeshaandaliwa, tumevuliwa nguo, tumepakwa mafuta, akaondoka. Julius Nyerere is co-equally complicitous in the rape, pillage and murder of his own nation by Zanzibaris.

Tanganyika union with Zanzibar is, in the annals of nation states formation, the most retarded decision of all.
 
A stolen sovereignty.. Hakuna marefu yasiyo na ncha

Bei ya mafuta Zanzibar leo
HII YOTE NI CHUKI DHIDI YA UISLAM
1.wakristo wa Bongo wanafurahia Iran kupigwa na U.S,ilhali Iran mafuta yake anauza China,ambayo inauza bidhaa cheap 80% lower ya bidhaa hio hio ikiuzwa U.S to Africa,
2.mtu anakuambia ni haki Israel kuipora ardhi Palestine sababu andiko limesema,unamuuliza unaweza nipa ramani ya Israel kwenye hilo andiko anaishia kutukuna
3.wakristo wengi hawampendi Samia,ambaye anafanya mabaya yale yale ya JPM waliokua wanampenda,wanataka ashitakiwe ICC ilhali nyetanyahu mwenye arrest warrant ya ICC,wanashangilia kua ni shujaa kwa kuua GAZA
4.Unakuta wakrsisto wanadharau na kuwatukana wazanzibar kua hawajasoma ,ilhali Zanzibar Ina population sawa na Kagera,Kilimanjaro ama Mara kwenye obvious wakristo wengi,lakini per capital ya Zanzibar ni $2500 ya hio mikoa ni chini ya $1000,Zanzibar in maendeleo mara 10 ya Mkoa wowote hapa Tanzania bara ukiacha Dar es salaam na waislam kule ni 99%,sa kuna haja gani ya kusoma sana Kisha unakua MASIKINI,ukienda Bukoba stendi ya mabasi tu kichekesho,na ndio kuna maprofessor wengi huko🤣🤣,maana yake we ni mbumbumbu
4.Pombe ni among top carcinogen na ina addiction,mkristo anaaminishwa kanisani kua anywe ila asilewe na anakubali kabisa kua andiko limesema😃😫😁,
5.kibailojia sex is necessary,hata kama sio kwa kuzaliana,mkristo anaaminishwa kua viongozi wao wa dini Sex no,na anakubali kabisa kua kupitia roho mtakatifu,viongozi wao HAWATOMBANI🤣🤣
wakristo wengi wasomi lakini reasoning yao ni ndogo sababu dini yao inawaaminisha,haiwafanyi wafikirie tofauti na UISLAM,itakupa Kila sababu ya kwa nini pombe haramu,Kuoa mke zaidi ya mmoja,kutokula nguruwe etc,tena katika scientific way kabisa

wakristo wengi wasomi lakini hawareasons accordingly,na elimu yao haiendani na maarifa/ama ujuzi wao
 
Hawa ndio wale wenye roho mbaya,wivu na chuki,
jambo baya likimfika atataka kila mtu limfike,
Umeme ukikatika kwake anakimbilia kuangalia kwa majirani zake kama wao wana umeme.
 
Vipi kuhusu bikira 72 na mito ya pombe baada kifo hayo maandiko unayaamini.
Kama unayaamini wewe unatofauti gani na unaowalaumu
 
Ume-exaggerate mno ndugu yangu.

Anzia kwanza hapa.
Samia hachukiwi kwasababu ya Udini au Jinsia yake.
Zanzibar haisemwi kwa sababu ulizoainisha ww hapo juu.

Kuhusu Znz , watu hawaelewi huu Muungano una nufaisha vipi Tanganyika. Ni hilo tu. Kama liko bas Raia wanahitaj kujua ni kivipi.

Na sio porojo porojo kama ulizoandika ww. Na kuhusisha Udini.
 
Back
Top Bottom