Pole sana Tanganyika

Pole sana Tanganyika

Stolen sovereignty ? It wasn't.

It was surrendered sovereignty

We gave it away.

Mamlaka, amana, utajiri, na fursa za nchi tukasema tutagawana na ka kisiwa kasiko na mchango wowote kwetu.

Modern day Zanzibaris, the mold of Samia Suluhu Hassan, wanahakikisha mgawanyo huo ni nusu kwa nusu

Watetezi wa Mwalimu wananambia haikuwa nusu kwa nusu wakati wa Mwalimu.

Okay, alisimamia yeye binafsi yasiwe nusu kwa nusu.

Bado ni utopolo kichwani mwa Mwalimu, a fat headed blunder. Catastrophic stupidity.

Kwa sababu ni doctrine ile ile wakati alivyosema ningekuwa fidhuli mngekoma, ningeweza kuwachinja kama kuku kwa kutumia katiba hii hii. Okay, tunaelewa. Ahsante Msamaria.

Sasa ulitegemea ukiondoka inakuwaje ?????????

Umetoka umeacha mfumo unasoma Rais anaweza kuagiza mlawitiwe wakati wowote lakini mimi naondoka sijawafira. Haya, polisi sasa wanasema Rais ameagiza watu wafirwe na wauliwe. Wakenya waliokamatwa Kempiski Hotel waliambiwa hivyo. Nasema uongo ?????

Kwa hiyo Nyerere alitulinda tusibakwe na Wazanzibar lakini akatuacha tumeshaandaliwa, tumevuliwa nguo, tumepakwa mafuta, akaondoka. Julius Nyetere was complicitous in the rape and pillage of his own nation by Zanzibar.

Tanganyika union with Zanzibar is, in the annals of nation states formation, the most retarded decision of all.
Kwenye kupakwa mafuta mm nitoeni sijapakwa 🤣
 
IMG-20260403-WA0118.jpg
 
Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu wa TEC, ameibuka na ujumbe mkali mtandaoni kufuatia kutolewa kwa ripoti ya CAG, akigusia moja kwa moja kauli ya Rais kuhusu kuwataja wahusika ili “waone aibu.”

Katika andiko lake, Kitima alieleza kuwa aibu pekee haitoshi kama njia ya uwajibikaji, akisisitiza kuwa ripoti hiyo inaonyesha wazi uwepo wa hasara na mapungufu yanayohitaji hatua za kisheria na kinidhamu, si onyo la maneno tu.

Aliongeza kuwa uwajibikaji wa kweli unahitaji hatua madhubuti dhidi ya wahusika, jambo lililochochea mjadala mpana mtandaoni kuhusu namna bora ya kushughulikia hoja za ripoti ya CAG.
1775629923282.jpg
 
John Heche anena mazito juu kalia zinazotolewa toka Zanzibar ;
Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha huku bara..

Maneno muhimu kutoka kwako:

Unaelekeza mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari!!!! Ni mtu gani anaweza kuwa na kitambulisho cha Mtanzania lakini hana cha Mzanzibari?

Bila shaka ni mtu kutoka Tanganyika.

Umesema hatuna uwezo wa kutibu watu milioni 60 ambayo hiyo ni idadi ya Watanzania ambao wengi ni Watanganyika.

Je kuna siku wote wamevuka kuja kutafuta matibabu huko?

1. Saada unaweza kuwambia watu deni la Taifa ambalo kila mwezi tunalipa karibia trilioni moja na kadhaa ni kiasi gani kinatoka kwenye makusanyo ya Zanzibar?

2. Serikali za mitaa sio suala la muungano kwa katiba yetu,

Je unajua kuna wakurugenzi wa halmashauri za miji na majiji wameteueliwa kutoka Zanzibar huku Tanganyika?

Unajua kuna MADC wengi tu wameteueliwa kutoka Zanzibar wako huku bara?

Umefuatilia kwenye idara za madini, utaliii na wizara nyingi ambazo sio za Muungano kuna wakuu wa idara wangapi, wakurugenzi wa idara na maafisa wangapi kutoka Zanzibar?

Unataka Watanganyika wanaoishi huko wabaguliwe na wasipewe matibabu kwasababu ya kukosa kitambulisho cha Mzanzibari hata kama ana matibabu kadi ambayo ni sawa na bima ya afya….

Je Wazanzibari wanaoishi huku Tanganyika na wana bima za afya za NHIF nao wanyimwe matibabu?

Huyu ni waziri wa pili ndani ya mda mfupi kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya Watanzania wengine na hakuna kauli yet kutoka kwa aliewateua… Kwahiyo huu ndio msimamo wa ccm na ndio msimamo wa wateuzi wao.

Nani anaewatuma hawa kusema haya? Maana sio bahati mbaya… nani anaewatuma kuwabagua Watanganyika?
1781066921403.jpg
 
Nyerere hii dhambi ya muungano ikufuate Huko uliko
Hii ndiyo shida ya nidhamu ya uoga.
Kumuona Nyerere kama kiumbe kisichokosea..
Nyerere aliasisi Muungano bila ridhaa ya Watanganyika wala Wazanzibar kwa kuafuata mchakato wa wazi..

Ulikuwa muungano fulani hivi wa kihuni-kihuni..
Zanzibar anapata uhuru wake 12 January 1964.
Ndani ya Siku 100 baada ya Uhuru wake,
Anarubuniwa kuingizwa kwenye Ndoa na Tanganyika iliyofaidi uhuru wake kwa miaka 3...
 
Back
Top Bottom