Pole sana rafiki yangu. Ndoa hizi!

Pole sana rafiki yangu. Ndoa hizi!

Hiyo Mbinu Yako Inahitaji Mtu Mwenye Moyo Tofauti Na Hapo Unaweza Kuua Mtu Bila Kutegemea. Binafsi Mimi Ni Kheri Nipige Chini Mapema Kuliko Kuendelea Kuumia Moyo kila Siku.
hutakiwi kuumia moyo kwa mtu kutumia mwili wake kujifurahisha,tumia akili(fikiri) sio hisia(moyo),moyo hupoteza
 
Mke Wa mtu ni mtamu sana, lakn ni hatar sana,..
Ila hapo hakuna ndoa tena maana jamaa itakuwa ni vigumu sana kurudisha mapenzi ya zaman..
 
Daaah,kwa nnayoyasoma umu,NI hatari zaidi ya hatari,waliosema ni vizur kuoa mke bikira wako sahihi Sana, Excuse kwamba unaeza bikira afu abadilike ni ajali iliyo nje ya uwezo wa kibinadam,Ila iko wazi kabisa mwanamke asiye bikira ana viashiria vingi vya usalama duni.
Nimejifunza.
 
Nadumbukia muda si mrefu nitayaona yaliyomo.

Daaahh, mambo ya kupasha viporo haya.....

Na ubaya wa kiporo hakihitaji moto mwingi, basi hapo...!

Nieleweshe basi gunia 2 mkuu. Au nawe hujaujua bado huu msamiati mpya, maana dunia yetu inakimbia mpaka tunaachwa nyuma na maneno mapya ya mjinii mkuu. Acha kabisa.
 
Aisee wanaume kabla hujaoa hakikisha mkaa gunia tatu hazikosi ndan na kama huwez acha kabsa kuoa
 
Kosa kubwa kuanza kumpiga.
Kwani lazima uishi naye yeye?

Kwenye ndoa kila mtu anaishi na adui yake kwa karibu.
Ndio maana unatakiwa kuchagua adui utakayemmudu.
Akikuzidi kila mtu awe na mpango wake.
Kumpiga Ni kuonesha udhaifu tu na kuongeza kesi za GBV.
Cheti Cha ndoa sio ndio kibali Cha maisha au kitakachokupeleka mbinguni.
Ni taratibu tu za kijamii ziliwekwa Kama zingine.
Tusiogope kuishi kwa furaha yetu kisa cheti Cha ndoa.
Kama hamuendani kila mtu akakae na mpango wake.
Andaeni namna tu ya kulea watoto.
 
Hii habari, iwe ya kweli au la, ila ukweli wa kwamba waliopo kwenye ndoa huwa wanaibia, ni jambo halisi.

Kuna wengine [hapa nazungumzia wanawake ninaowafahamu] huwa wanachepuka halafu wanajishawishi kabisa kuwa wakifanyacho si kuchepuka!

Weird!
 
Wanaume mna mioyo ya makuti mwanamke akisaliti afu kwa upande wenu usaliti mnaonaga ni jambo dogo sana ata muwe na mahawara 100 uko amtaki mwanamke aseme, asa jamaa kamla siku moja tu iyo ndo anampiga ivo
 
Wakuu mimi ni mtata sana ila amini siwezi kumpiga mwanamke nikifumania akiliwa na mwanaume mwingine..

Ningekuwa mimi hapo, kiroho safi kama nimethibitisha kwamba amechepuka
namruhusu tangu siku hiyo akaishi na huyo bwana mimi narudi kufanya mambo yangu.

Yawezekana dudu langu halimkidhi so alikuwa kwangu tu kwa sababu ya ndoa, hivyo nampa uhuru aende kwa huyo anaekimdhi na mimi kiroho naenda kutafuta mwingine wa kuendeleza gurudumu.
Gud, hata mm najisemeaga hivyo, hadi mtu kuchepuka means kuna mahali anaona ww humfiti,hakuna cha shetani wala nn ni mtu kaamua kwa akili zake, mwache aendelee na maisha yake, ukimsamehe jua kabisaa atarudia tu
 
Gud, hata mm najisemeaga hivyo, hadi mtu kuchepuka means kuna mahali anaona ww humfiti,hakuna cha shetani wala nn ni mtu kaamua kwa akili zake, mwache aendelee na maisha yake, ukimsamehe jua kabisaa atarudia tu
aisee habari ya Ara chuga
 
Back
Top Bottom