Pole sana rafiki yangu. Ndoa hizi!

Pole sana rafiki yangu. Ndoa hizi!

Daaah,kwa nnayoyasoma umu,NI hatari zaidi ya hatari,waliosema ni vizur kuoa mke bikira wako sahihi Sana, Excuse kwamba unaeza bikira afu abadilike ni ajali iliyo nje ya uwezo wa kibinadam,Ila iko wazi kabisa mwanamke asiye bikira ana viashiria vingi vya usalama duni.
Nimejifunza.
Inshu siyo bikra bali ni asili ya Mtu kitabia na jinsi alivyolelewa kimaadili mema.

Je kama ulimbikiri lakini bado hajaridhia vigezo kimapenzi utalazimisha aendelee kuishi nawe kimabavu?
 
Kiuumbaji Mwanamke ndiye aliyeumbiwa upendo ndiyomaana hata siku ya kufunga ndoa huaswa kumtii Mume wala tu.

Mwanaume kaumbiwa tamaa ndiyomaana hata atembee hata na Wanawake 10 kwa siku 1 bado hatamuelewa Mwanamke yeyote atayemfumania.
Wanaume mna mioyo ya makuti mwanamke akisaliti afu kwa upande wenu usaliti mnaonaga ni jambo dogo sana ata muwe na mahawara 100 uko amtaki mwanamke aseme, asa jamaa kamla siku moja tu iyo ndo anampiga ivo
 
Kiuumbaji Mwanamke ndiye aliyeumbiwa upendo ndiyomaana hata siku ya kufunga ndoa huaswa kumtii Mume wala tu siyo kumpenda tofauti na Mwanaume atavyoaswa kumpenda Mwanamke.

Mwanaume kaumbiwa tamaa ndiyomaana hata atembee hata na Wanawake 10 kwa siku 1 bado hatamuelewa Mwanamke yeyote atayemfumania.
Wanaume mna mioyo ya makuti mwanamke akisaliti afu kwa upande wenu usaliti mnaonaga ni jambo dogo sana ata muwe na mahawara 100 uko amtaki mwanamke aseme, asa jamaa kamla siku moja tu iyo ndo anampiga ivo
 
Hii habari, iwe ya kweli au la, ila ukweli wa kwamba waliopo kwenye ndoa huwa wanaibia, ni jambo halisi.

Kuna wengine [hapa nazungumzia wanawake ninaowafahamu] huwa wanachepuka halafu wanajishawishi kabisa kuwa wakifanyacho si kuchepuka!

Weird!
Ndugu yangu hii ni kweli kabisa yaani...
 
Wanaume mna mioyo ya makuti mwanamke akisaliti afu kwa upande wenu usaliti mnaonaga ni jambo dogo sana ata muwe na mahawara 100 uko amtaki mwanamke aseme, asa jamaa kamla siku moja tu iyo ndo anampiga ivo
Na amempiga mnoooo
 
Yaani unamtegea mwizi kitu ili akuibie umkamate, anaiba unamuona chaajabu unashindwa kumkamata kabla ajasepa nakitu chako. Alafu unakuja kumtafuta siku yapili hali yakuwa tayari kitu chako ameshakiuza/kishakitumia.

Kama sio kutafutiana lawama huko ninini? Kwanini asingemfatilizia mpaka hiyo hotel aliyopelekwa ili kuzuia asichapiwe?
Aiseee Mungu atusaidie maana kuchapiwa kunauma sanaaa
 
Ameshapoteza sifa ya kuwa mke. Kama hatoachika atabaki na sifa ya kuwa mzazi wa watoto na mhudumu wa nyumbani.
Upendo na kuaminiwa havitokuwepo tena.
huyo ni kumtimua kabisa, ndio yale yale umuache awe mhudumu badae akuwekee sumu kwenye chakula kama ilivyokuwa kwa mzee machache
 
Yaani unamtegea mwizi kitu ili akuibie umkamate, anaiba unamuona chaajabu unashindwa kumkamata kabla ajasepa nakitu chako. Alafu unakuja kumtafuta siku yapili hali yakuwa tayari kitu chako ameshakiuza/kishakitumia.

Kama sio kutafutiana lawama huko ninini? Kwanini asingemfatilizia mpaka hiyo hotel aliyopelekwa ili kuzuia asichapiwe?
Aiseee Mungu atusaidie maana kuchapiwa kunauma sanaaa
Nadhani yeye alitegemea cheating Ingekuwa next day,lakini kumbe jamaa kaharibu siku hiyo hiyo ya safari...
 
Eeeh Mungu saidia,jamaa inasadikiaka amempiga mkewe Sanaa,mdada amelazwa akiwa hajitambui kabisa,sijui atapona
 
Back
Top Bottom