Pole sana rafiki yangu. Ndoa hizi!

Pole sana rafiki yangu. Ndoa hizi!

Kosa kubwa kuanza kumpiga.
Kwani lazima uishi naye yeye?

Kwenye ndoa kila mtu anaishi na adui yake kwa karibu.
Ndio maana unatakiwa kuchagua adui utakayemmudu.
Akikuzidi kila mtu awe na mpango wake.
Kumpiga Ni kuonesha udhaifu tu na kuongeza kesi za GBV.
Cheti Cha ndoa sio ndio kibali Cha maisha au kitakachokupeleka mbinguni.
Ni taratibu tu za kijamii ziliwekwa Kama zingine.
Tusiogope kuishi kwa furaha yetu kisa cheti Cha ndoa.
Kama hamuendani kila mtu akakae na mpango wake.
Andaeni namna tu ya kulea watoto.
Shetani tu alimpitia
Msamehe muombee mjenge ndoa yenu
 
Wanawake wengi ni wasaliti kwenye ndoa kuliko wakiwa kwenye mahusiano.
 
Wakuu mimi ni mtata sana ila amini siwezi kumpiga mwanamke nikifumania akiliwa na mwanaume mwingine..

Ningekuwa mimi hapo, kiroho safi kama nimethibitisha kwamba amechepuka
namruhusu tangu siku hiyo akaishi na huyo bwana mimi narudi kufanya mambo yangu.

Yawezekana dudu langu halimkidhi so alikuwa kwangu tu kwa sababu ya ndoa, hivyo nampa uhuru aende kwa huyo anaekimdhi na mimi kiroho naenda kutafuta mwingine wa kuendeleza gurudumu.
Hakika hatutofautiani kabisa..!

Yaani hata mie sioni sababu ya kujisumbu, kwa kitu kidogo kama hiko. Infact namwacha tu aende salama, nami niendelee kusukuma guludumu langu...

Yanini shida?.
 
Wakuu mimi ni mtata sana ila amini siwezi kumpiga mwanamke nikifumania akiliwa na mwanaume mwingine..

Ningekuwa mimi hapo, kiroho safi kama nimethibitisha kwamba amechepuka
namruhusu tangu siku hiyo akaishi na huyo bwana mimi narudi kufanya mambo yangu.

Yawezekana dudu langu halimkidhi so alikuwa kwangu tu kwa sababu ya ndoa, hivyo nampa uhuru aende kwa huyo anaekimdhi na mimi kiroho naenda kutafuta mwingine wa kuendeleza gurudumu.

Shida hapo sio dyudyu....ni uwekezaji uliofanyika. Fikiria inawezekana umechukua mkopo kazini na mama ndio yuko front kuuzungusha...na tyr njia ya maisha imeonekana baada ya miaka mingi ya dhiki
 
Unemsomesha......umemfundisha biashara...umemtafutia mkopo......umeacha kununua prado kwa ajili yake.....umeacha kwenda vacation kwa ajili yake.....
 
huyo ni kumtimua kabisa, ndio yale yale umuache awe mhudumu badae akuwekee sumu kwenye chakula kama ilivyokuwa kwa mzee machache
Uwepo wa watoto ndio huleta changamoto juu ya uamuzi wa kumtimua au kumdamehe. Unaweza kumwacha kwa maslahi ya watoto (kama ni zaidi ya mmoja)!
 
Back
Top Bottom