Na yy alikuwa anataka game daily. Huo ni uzembe no.1
Isitoshe, tangu ln mwanaume akategemea mwanamke mmoja. Akiumwa na ww unaumwa. Huo ni uzembe no. 2
Mind that, siku zote mwanamke anakuwa na adabu kwa issue hizo akijua una demu mwingine au unaweza kuwa na demu mwingine at any time t. Kumuonyesha vingine na hapo ni uzembe no.3.
Guys Pse do change.
hahaha, mbele huko, ukimbaka mkeo nalo janga!
Eti kwa ustadi mkubwa amekuwa akirekodi. Hahaha huo ustadi angeuweka kwa kumpa raha mkewe tusingekuwa na excel sheet. Ukiona mwenzio hakutamani basi jitamushe na wewe, khaa
Mwambie aache uzembe, hakuna kesi ya kubaka mke. Kama vıpi alete msaidizi kwa gia ya house girl.
Kama anaomba mikono nyuma kama anaomba kazi hiyo excel sheet itajaa huku siku za majibu ya YES zikipungua kwa kasi!!
Mtu asiyejiongeza wa nini?
Kwenye ndoa hakuna ubakaji mwambie jamaa aache uzembe