Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,645
Hivi kuna mtu anamkumbuka Doctor Ulimboka na yale aliyopitia? Jidanganyeni tuu atakayelikumbuka hilo garasa la kisongo ni Tanapa tuuKuna siku tutamkumbuka Lema,leo wengi wetu tunamuona kama kichaa asiyejua akifanyacho,lakini naona polisi,mkuu wa mkoa na mahakama wanacheza singeli ya Lema