Pole sana ndugu yangu mh. Godbless Lema, nina ujumbe wako nakupatia leo

ndoto ya kuotea na kulazimisha wenzake watakufa, kama si ushetani ni nini huo? Yeye hafi? Au amejisahau kuwa yeye ni binaadam? Mwache acheze na wanaume wenzake jela huko kwa muda.
aliota akiwa usingizini? kumbe ni kosa kisheria kuota ndoto? una kifungu hcho cha sheria tafadhali, kwa faida ya wote?
 
kwani kosa lake unalijua? kesi iliyompeleja pale unaijua? kama unaijua nitajie?
Yawezekana sijui kesi yake kwa usahii lakini kitendo cha kumtabiria kifo na kutangaza hadharani kiongozi anayeongoza nchi hakikubaliki.
Mahali popote,

Biblia imetuasa kuheshimu wenye mamlaka na kuwaombea.

Yaliyo nje ya hapo yatoka kwa yule mwovu.
 
Kosa kutukana ukiwa mzima. Umesahau alichokisema? Unafikiri aliyokuwa anayasema alikuwa usingizini? Na ile sms yeye na mkewe waliituma wakiwa usingizini? usitake kucheza na maneno na mimi, hutoniweza.
kwani ni mashindano? si mjadala tunaenda kwa hoja bibie?
 
Narudia tena ndugu zangu tujikite kujadlili hoja na mambo ya msingi yatakayotupitisha hapa tulipo haya mambo mtambuka tuachane nayo,, kuna issues nyingi za muhimu za kujadili
 
Yawezekana sijui kesi yake kwa usahii lakini kitendo cha kumtabiria kifo na kutangaza hadharani kiongozi anayeongoza nchi hakikubaliki.
Mahali popote,

Biblia imetuasa kuheshimu wenye mamlaka na kuwaombea.

Yaliyo nje ya hapo yatoka kwa yule mwovu.
ahaaa! kosa lake kisheria litajielezaje?
 
ahaaa! kosa lake kisheria litajielezaje?
Hii watajua wanasheria mimi fani hiyo
sina,

Lakini ikiwa hata mimi nitaota ndoto eti jirani yangu nisiyempenda wala kukubaliana naye,
Eti asipobadilika atakufa na mwingine akaota na mwingine akaota Tanzania nzima ikajaa ndoto zenye chuki na visasi
Na kuzihubiri hadharani sidhani kama hiki kinachoitwa Tanzania kitaendelea kuwepo.

Lema ni mwanasiasa mzuri tena anayekubalika arusha na Tanzania yote lakini kwa wastaarabu wanaona kama anavuka mipaka ya kiuti na kijamii,

Bahati mbaya sijui nani wa kumshauri arekebishe aina ya siasa anazozifanya kwa sasa ikiwa viongozi wake wakuu wanamuunga mkono.

Ngoja tusubiri na kuona.
 
Ni kweli.I wish I could be him just for a minute.

Tetty, what did you just say?

Did you say, you wish you could just be like him at least for just a minute?

Wooh!.....That's simple. Here we go;

Give us a proper description of Mr President John Pombe Magufuli referring to the present social & economic situation of the country and its people!

Plz, in responding to this question, try to be honest and brave.

Do not give him qualities he doesn't deserve to be given!!
 
ndoto ya kuotea na kulazimisha wenzake watakufa, kama si ushetani ni nini huo? Yeye hafi? Au amejisahau kuwa yeye ni binaadam? .
Sikufikiria kama mwanamke anaweza kuwa na roho mbaya kama yako,mwanamke anayepitisha mwanadamu kwenye kiungo chake cha uzazi hakika ingemuuma kwa mtu yeyote kudhulumiwa haki yake,siamini kile unachokihubiri yawezekana ni mmoja wa watu makatili sana hapa Tanzania.
 
Kuna watu waliota ndoto za kishetani kuwa Lowasa atakufa muda wowote nashangaa hawako gerezani na Lema!


Usisahau na kumtukana mkuu wa mkoa.

Nilisema humu hili litam cost Lema, hamkunielewa.
Halafu Mkuu wa mkoa ambae ni mwakilishi wa Rais anaongea, yeye anajidai kimbele mbele, mbele ya waalikwa wengine kwenye hadhara.

Nilijuwa lile ni kosa kubwa sana kwa kumfanyia hivyo mwakilishi wa Rais kwenye mkoa. Na nilijuwa litamgharimu sana na nililisema humu.

Na hata siku mawakili walivyojidai kumtafutia dhamana eti kwa rufaa ya mahakama kuu, nikasema tena, bora wamsiombe rufaa wamuache hapo hapo, hataachiwa.

Kinyangarakata kama kile hakiwezi kushindana na dola. Hawakuweza akina Kambona mpaka wakaikimbia nchi ataweza huyu mjinga?
 
Iko siku Mungu atashuka mwenyewe kwa ajili ya nchi hii. Tusikate tamaa tuendelee kumuomba tu. Hata Eliya ktk 1Wafalme 18:41-44 hakukata tamaa kuomba mpaka mvua ikanyesha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom