Pole sana ndugu yangu mh. Godbless Lema, nina ujumbe wako nakupatia leo

Kuna siku tutamkumbuka Lema,leo wengi wetu tunamuona kama kichaa asiyejua akifanyacho,lakini naona polisi,mkuu wa mkoa na mahakama wanacheza singeli ya Lema
Hivi kuna mtu anamkumbuka Doctor Ulimboka na yale aliyopitia? Jidanganyeni tuu atakayelikumbuka hilo garasa la kisongo ni Tanapa tuu
 
ndoto ya kuotea na kulazimisha wenzake watakufa, kama si ushetani ni nini huo? Yeye hafi? Auamejisahau kuwa yeye ni binaadam?
samahan faiza foxy kuna siku niliota kuwa UMEKUFA lakini kumbe uko hai!! Maajabu ya Ndoto! Sikuwa najua,kumbe mtu unaweza kuota chochote?
 
Yawezekana sijui kesi yake kwa usahii lakini kitendo cha kumtabiria kifo na kutangaza hadharani kiongozi anayeongoza nchi hakikubaliki.
Mahali popote,

Biblia imetuasa kuheshimu wenye mamlaka na kuwaombea.

Yaliyo nje ya hapo yatoka kwa yule mwovu.
Huyo jamaa atasota ndani mpaka akome
 
Fikra mpya za kuota ndoto za kishetani?
Nbii Isaya kupitia maono aliambiwa aende akamwambie mfalme Hezekia kuwa atakufa wala hatapona ugonjwa wake. Mfalme alichofanya pamoja na kuwa na askari wa kumuua Isaya 'on the spot', hakufanya hivyo, badala yake alikubali kuiweka toba yake kwa Mwenyenzi Mungu, hivyo kuongezewa miaka 15 zaidi ya kuishi.
Ikiwa maono ya Mhe. Lema yanatoka kwa Muumba wake, na ninyi wapambe wa Mfalme mkamfanya ashupaze shingo asitubu, yakitokea mtamlaumu nani?
 
Angekuwa na maono kwanza angekuwa na adabu yeye na mkewe.

Isaya nnauhakika alikuwa na adabu.
 
Angekuwa na maono kwanza angekuwa na adabu yeye na mkewe.

Isaya nnauhakika alikuwa na adabu.
Maana ya adabu kwako nini? Unadhani hivyo lakini si kweli maana historia inaonyesha kuwa Mfame mwovu Manase alimuua kwa kumkata msumeno, na hivyo kuwa mwisho wa nabii Isaya!! Ukiona utawala unawasumbua wana wema wanaoutahadharisha utende haki basi ujue udhalimu ni fungu lake.
 
Maana ya kukosa adabu ni pamoja na kutukana.

Unataka kusema Isaya alikuwa hana adabu?
 
Waliomtabiria Lowassa kifo nani aliwachukulia hatua?? Wengine walimdhihaki Mungu kwa kukejeli kuwa hawezi hata kuzungusha mikono kwa ishara ya mabadiliko

Mungu yupo na atatenda
Lowasa hakuwa raisi,na pengine unaweza kusema kwa kuwa kilikuwa kipindi cha kampeni kila aliyeweza kuzungumza chochote alizungumuza.

Ingawa kilikuwa kipindi cha kampeni haikuruhusiwa kutukana watu na kuwanenea mabaya.
Mwisho wa yote kauli za wanasiasa nyingi hazina staha.

Lema atambue kipindi cha kampeni kilishaisha.
Jpm sasa ni raisi wa nchi.
 
Kama hizo ndoto huzipendi au unaona hazifai washauri wakuu watunge sheria ya kuhukumu wanaoota. Very simple lakini kwa sasa hakuna sheria ya kumhukumu zaidi ya uonevu unaoendelea
Ndoto ngapi mbaya umeota na kuwatangazia majirani zako?
Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.
 
Maana ya kukosa adabu ni pamoja na kutukana.

Unataka kusema Isaya alikuwa hana adabu?
Kuna wakati ubaya ni lazima utajwe kwa jina lake halisi, lakini kwa wengine huweza kuona kuwa wametukanwa kwa kuambiwa ukweli. Kwa Mfalme Hezekia ukweli ulimuongoza kwenye toba japo kwa Manase ukweli huohuo wa Nabii Isaya ulisababisha ghadhabu kwa kuonekana amekosa adabu kwa mfalme!!!
 
Lowasa hakuwa raisi,na pengine unaweza kusema kwa kuwa kilikuwa kipindi cha kampeni kila aliyeweza kuzungumza chochote alizungumuza.

Ingawa kilikuwa kipindi cha kampeni haikuruhusiwa kutukana watu na kuwanenea mabaya.
Mwisho wa yote kauli za wanasiasa nyingi hazina staha.

Lema atambue kipindi cha kampeni kilishaisha.
Jpm sasa ni raisi wa nchi.
Kwa akili yako unataka kutuambia kuwa kipindi cha kampeni ni kipindi cha kuzusha mambo? Kweli mataahira Tanzania wanaongezeka kila iitwapo leo!!!
 
WE are talking of Lema , not Lowasa! These are two different scenarios
Ukitaka kushinda kesi mahakamani hua wanaleta maamuzi ya kesi mpaka ya miaka 50 iliyopita unajua kwanini majaji hawakatazi kuletwa hizo kesi? Sikushangai kutetea mpaka visivyotetewa ni ugonjwa wa kupenda maana mmesahau kuwa Lowasa alitukanwa sana na huyu Tapeli wa kichaga leo hamtaki tukumbushe nini alisema. I am talking of Lema as well and I mentioned Lowasa to support my point that anyone with good memory and working brain shouldn't be listening to this outdated politician
 
Nachokijua ngozi nyeusi mala nyingi haipendi ukweli kwa hiyo Lema kinachomghalimu ni ndoto yake Afrika ni shida Mpaka leo Mungu namlaumu kuniumba Afrika
 
Acha kuchafua jina la paulo wewe. Huwezi kumfananisha na huyu

''memory card yako inakutu kaka nenda kai flash mm mm sijasema ana fana na Paulo wewe wayasema hayo. nime sema hata wao walikaa gerzani''

Wanasema ukaflash hiyo akili, iko na kutu bana! Hebu wajibu ki-Lumumba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom