Pole sana ndugu yangu mh. Godbless Lema, nina ujumbe wako nakupatia leo

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,179
2,004
Daima hakuna mtawala yeyote duniani hupendezwa kuambiwa maneno yasiyompendeza na kumfurahisha.

Watawala wana tabia zinazofanana nayo ni kupenda kuogopwa na kuambiwa yanayowapendeza tu, na huamini zaidi yale wanayoambiwa na wapambe wao hata kama si sahihi, kwa vile tu wapambe wao huwatia moyo kuwa "mambo yako sawa tu".

Najua una huzuni, hasira na fikra mpya kila wakati, "wewe ni mchochezi", ndio nami nakubali kuwa wewe ni mchochezi, unachochea ktk kuleta fikra mpya za umuhimu wa kuwa na KIONGOZI na sio MTAWALA.

Pole sana ndugu! kazi ya siasa na ukombozi inahitaji gharama ya moyo na nafsi za watu. hongera kwa kujichagua.
 
Hivi Lile swala la kuanzisha hospital mpya ya akina mama Na watoto ambayo chimbuko lake ni wazo zuri la Mheshimiwa Lema limeishia wapi? Hiyo hospital tunaihitaji sana jamani, kwanini wanamvuruga Ili ashindwe kufanya mambo yenye kuleta tija kwetu sisi wananchi! Yaani ......
 
Daima hakuna mtawala yeyote duniani hupendezwa kuambiwa maneno yasiyompendeza na kumfurahisha.

Watawala wana tabia zinazofanana nayo ni kupenda kuogopwa na kuambiwa yanayowapendeza tu, na huamini zaidi yale wanayoambiwa na wapambe wao hata kama si sahihi, kwa vile tu wapambe wao huwatia moyo kuwa "mambo yako sawa tu".

Najua una huzuni, hasira na fikra mpya kila wakati, "wewe ni mchochezi", ndio nami nakubali kuwa wewe ni mchochezi, unachochea ktk kuleta fikra mpya za umuhimu wa kuwa na KIONGOZI na sio MTAWALA.

Pole sana ndugu! kazi ya siasa na ukombozi inahitaji gharama ya moyo na nafsi za watu. hongera kwa kujichagua.

Kuna siku tutamkumbuka Lema,leo wengi wetu tunamuona kama kichaa asiyejua akifanyacho,lakini naona polisi,mkuu wa mkoa na mahakama wanacheza singeli ya Lema
 
inasikitisha na kusononesha saana moyo. pole hata Paulo na sira walitupwa gerezani lakini waliendele kuamini katika Yale waliyo yanena mwishoe walikuwa huru jipe moyo sheria za wanadamu hazina nafasi katika hukumu ya mungu wahukumuo kwa haki watapimiwa mizani sawasawa na hukumu zao.
 
Acha kuchafua jina la paulo wewe. Huwezi kumfananisha na huyu
 
Daima hakuna mtawala yeyote duniani hupendezwa kuambiwa maneno yasiyompendeza na kumfurahisha.

Watawala wana tabia zinazofanana nayo ni kupenda kuogopwa na kuambiwa yanayowapendeza tu, na huamini zaidi yale wanayoambiwa na wapambe wao hata kama si sahihi, kwa vile tu wapambe wao huwatia moyo kuwa "mambo yako sawa tu".

Najua una huzuni, hasira na fikra mpya kila wakati, "wewe ni mchochezi", ndio nami nakubali kuwa wewe ni mchochezi, unachochea ktk kuleta fikra mpya za umuhimu wa kuwa na KIONGOZI na sio MTAWALA.

Pole sana ndugu! kazi ya siasa na ukombozi inahitaji gharama ya moyo na nafsi za watu. hongera kwa kujichagua.
ALISHASEMA DHAMBI KUBWA NI UOGA. SIDHANI KAMA ANAJUTA KATU. ANAAMINI ANACHOKIFANYA NI SAHIHI NA KWELI YUKO SAHIHI. 50 MILLION TANZANIANS ARE AFRAID OF TELLING THE KING THAT HE IS NUDE! HE HAS DARED TO!
 
Wewe waache waendelee kuhangaika na Lema huku wanasahau kutuletea madawa hospital
 
Lema ndio mwanasiasa anajenifanya niamini IPO siku Na watu Wa kutuletea mabadiliko ya kweli wapo wanasiasa wanaosimamia wanachokiamini
 
Daima hakuna mtawala yeyote duniani hupendezwa kuambiwa maneno yasiyompendeza na kumfurahisha.

Watawala wana tabia zinazofanana nayo ni kupenda kuogopwa na kuambiwa yanayowapendeza tu, na huamini zaidi yale wanayoambiwa na wapambe wao hata kama si sahihi, kwa vile tu wapambe wao huwatia moyo kuwa "mambo yako sawa tu".

Najua una huzuni, hasira na fikra mpya kila wakati, "wewe ni mchochezi", ndio nami nakubali kuwa wewe ni mchochezi, unachochea ktk kuleta fikra mpya za umuhimu wa kuwa na KIONGOZI na sio MTAWALA.

Pole sana ndugu! kazi ya siasa na ukombozi inahitaji gharama ya moyo na nafsi za watu. hongera kwa kujichagua.

Fikra mpya za kuota ndoto za kishetani?
 
Kama ushujaa ni kuwatabiria vifo wale wanaotenda usiyoyataka ndio ushujaa.
Sidhani kama jamii ikijengwa ktk mfumo huo inaweza kuimarika.

Watu kama ninyi ndio mnamfanya asijutie matendo yake mabaya.
 
kwani kosa lake unalijua? kesi iliyompeleja pale unaijua? kama unaijua nitajie?
 
inasikitisha na kusononesha saana moyo. pole hata Paulo na sira walitupwa gerezani lakini waliendele kuamini katika Yale waliyo yanena mwishoe walikuwa huru jipe moyo sheria za wanadamu hazina nafasi katika hukumu ya mungu wahukumuo kwa haki watapimiwa mizani sawasawa na hukumu zao.
Usiwafananishe paulo na sila na wanasiasa.

Wao walifungwa kwa kuzuiwa kuhubiri injiri lakini huyu anahubiri chadema iingie madarakani hivyo ni vitu viwili tofauti.

Kuwa makini usipotoshe
 
Similar Discussions

18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom