Pole sana Mh Temba, Shetani hana Rafiki

Kwahiyo ilibidi akatae kazi .?

Issue ya binamu yake kuuliwa Haina uhusiano na kazi zake binafsi .

Hauwezi ukawa msanii uka turn down deal kisa siasa uchwara.
Mauaji siyo SIASA uchwara ninamkumbusha Temba n.a. hata wewe kwamba tushirikiane kupinga Utekaji, hili ni kwa vile hakuna aliye salama
 
Unaamini ni political killing?
 
 
Duh watu wameondoka na kichwa
Ukatili unazidi kupamba moto huko tz

Ova
Ila kuna watu wanamionekano ya ki binadamu ila ni devils. Kumkata binadam kichwa inahitaji ukatil wa hali ya juu sana

Ni km wale wa oct 29 , inahitaji ukatili sana .most of these kids wanakuaga ni ama walitelekezwa udogoni au hawajakulia kwenye malezi ya proper family
I feel sorry for them , I feel sorry for Samia too maana the universe is balanced
 
Ndugu yake Temba ametekwa na wale aliowapigia kampeni, Wamemchinja n.a. kaondoka n.a. kichwa
Wewe kigagula acha uongo
Huna chembe ya ushahidi, unalazimisha tu ukiulizwa, unarukaruka na maneno yasiyoeleweka , kuna watu wangapi humu wanauliza huyo ni nani na anafanya shughuli gani mpaka yamkute haya ?
Huna jibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…