Makyomwango
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 322
- 80
Pole sana Mama Shupavu Anna Killango, Lakini pia nakulaumu wewe kuwa kigeugeu ndio maana hata huo Uchaguzi wamekuzunguka na wamekushinda, Huwezi kuwa Chumvi tthe Same time Sukari.
Nazani timu ya Mh. Iliona Anna Akishinda basi Mafisadi na Hata Nafsi ya Uenyekiti wa Mh. Kikwete Ungekuwa Hatarini.
ushupavu wa Anne Kilango ni upi?
Ya gadaff imekaa kiuamsho?
Mkuu mgomba101 najua sana wewe sio UAMSHO ila avatar ya gadaff ndio naizungumziamimi sio uamsho! angalia comment zangu napinga sana uamsho na maandamano ya wenzetu wa elimu akhera!
Shirikishi ndio nini tena ?
Lowasa Wasira, Chenge, Nchimbi, Rostam, Mlugo, na Mkuu wakaya.Wapambanaji wa ufisadi
1.Samuel Sitta-Waziri
2.Anne Kilango
3.Ole sendeka
4.Stella Manyanya-RC ruvuma
5.Fredy Mpendazoe
6.Dr Harrison Mwakyembe-Waziri