jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,609
- 11,677
Wengine kama kweli wamcha Mungu mwapenda kukufuru, kama ni Mungu kumsaidia Mh E Lowassa kushinda uraisi nchini sidhani kama itawezekana, ila PESA itaweza kumsaidia huyu bwana, kweli wataka kutuambia Mungu ataweza saidia kiongozi mwenye hisa kwenye makampuni kadhaa, mwenye biashara lukuki, aliejiuzulu kwa kashfa, mwenye utajiri ulio na utata anaesadikika kuwa na mafisadi kwenye #teamlowassa , kuanzia nyoka mwenye makengengeza, karamagi, mama tiba, ngeleja, rostam na mkomunisti feki mzee ngombale mwiru?!
Hivi kweli tunataka raisi mwadilifu aisiye na sifa za ufisadi na ubepari au rafiki tu atakayewasaidia wapiga debe baada ya kushinda?!
Hivi kweli tunataka raisi mwadilifu aisiye na sifa za ufisadi na ubepari au rafiki tu atakayewasaidia wapiga debe baada ya kushinda?!