Pole sana Lowassa, maadui wako ni wana CCM wenzako

Pole sana Lowassa, maadui wako ni wana CCM wenzako

Ng'wanapagi

Du wewe kweli ni mfuasi unayempenda mtu badla ya sera na ushawishi nchi nzima
Lowassa alisema atatoboa mwizi wa Richmond Arusha,sasa kaingia mitini.
Hotuba ilikaa madudu yasiyoeleweka
EL hajaongea hoja za ufisadi zinaomhusu katika utendaji wake wa kazi.
Kuna wanaosema wizi wa viwanja hadi vya makanisa.
(NB Kuliibia kanisa unapata laana ya chap chap!)

Leo Lowassa anagombana na sera za Mwenyekiti wa chama chake.
Mkuu huhitaji akili ya ziada kujua kuwa Lowassa kajipalia makaa ya moto yeye mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Nilikua napitia blog tofauti za bongo leo pamoja na forums mbalimbali. huyu Lowassa nachelea kusema HAFAI maana timu yake yote ni wapigaji plus mzee kingunge (si unajua mtoto wake profession yake kwa sasa SA) natoa pole kwa watanzania wakimchagua huyu mtu nchi imekwisha hio..UKAWA mnafanya nini ??

hiki ndio kipindi kizuri cha kuongeza kasi maana mkikosa safari hii ndo hampati tena ....naanza kuona kuanguka kwa ccm wote waliojitokeza hadi leo hakuna mwenye credentials za kuwa rais wa nchi..mungu ibariki nchi ya Tanzania na watu wake.
 
Nampenda sana Lowasa.
Ana sifa zote za kuwa Rais wa nchi jirani.
Kwa Tanzania amekosa sifa za uadilifu, na sifa za kuchukia rushwa/ufisadi.
 
pole sana kijana , safari ya matumaini imegeuka kuwa safari ya miiba !
 
lowasa ni SHETANI...........Ni zimwi ambalo haliijui tanzania kwa hiyo litatukula na kutumaliza
Jambazi sugu na fisadi papa lowasa kamwe hawezi kuwa rais wa tz

Ok,wewe kwako bora ni yupi?
 
Akikosekana kabisa miongoni mwa watanzania zaidi ya milioni 45 tutamweka hata mrisho mpoto (mjomba) kuliko huyo fisadi lowasa.

Mkuu hata huyo mpoto bado ana maadui wake,hasa maafisa afya kwani havai viatu Yule.
 
Lowassa hakutoa hotuba nzuri zaidi ya kusizi katikati ya jukwaa wakati ana panda,mpaka aliposaidiwa na mulinzi wake kwa kusukumwa.

Kwani hata akiwa hana nguvu,unataka kusema rais anaenda kulima ikulu?
 
napata shida na hili suala la mgombea wa SISIEM kwani hakuna aliyemsafi
 
Du wewe kweli ni mfuasi unayempenda mtu badsla ya sera na ushawishi nchi nzuma
Lowassa alisema atatoboa mwizi wa Richmond Arusha,sasa kaingia mitini.
Hotuba ilikaa madudu yasiyoeleweka
EL hajaoangua hoka za ufisadi zinaxomhusu katika utndaji wake wa kazi Kuna wsnsosema wixi wa viwanja hadi vya makanisa.
NB Kuliibia kanisa unapata laana ya chap chsp!

Leo Zlowassa anagombana na sera za Zmwenyekiti wa chama chske.
Mkuu huhitsji akili ya ziada kujua kuwa Lowassa kajipalia makaa ya moto yeye mwenyewe.

Mkuu ujue kuwa kamwe memo ya mbwa hayaumani.
 
Back
Top Bottom