Pole sana Lowassa, maadui wako ni wana CCM wenzako

Pole sana Lowassa, maadui wako ni wana CCM wenzako

Kwani sie wagonjwa?tunataka safar ya uhakika sio matumaini
 
There will always be people in life who treat you wrong, be sure you thank them for making you strong..,

“A successful man is one who can lay a firm foundation with the bricks others have thrown at him.”
 
umeandika nini hapo juu
avatar171745_3.gif
 
Ni safari ya MATUMIZI by the way hatuhitaji matumaini miaka hamsini inatosha na wimbo wa matumaini aimbiwe mgonjwa siyo sisi. Na ccm yote ni passive they only talk and no changes after election
 
Ni safari ya MATUMIZI by the way hatuhitaji matumaini miaka hamsini inatosha na wimbo wa matumaini aimbiwe mgonjwa siyo sisi. Na ccm yote ni passive they only talk and no changes after election

Dawa yake ni moja nayo ni kuwa DELETE.
 
Akikosekana kabisa miongoni mwa watanzania zaidi ya milioni 45 tutamweka hata mrisho mpoto (mjomba) kuliko huyo fisadi lowasa.
Na haiwezekani tukose kabisa, maana wapo akina Lusinde, check magogoni kutakavyojaa mitusi hiyo kila kona.
 
Back
Top Bottom