Pole sana Lowassa, maadui wako ni wana CCM wenzako

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
9,116
Reaction score
8,662
Ni mmoja wa vijana ninayemkubali sana Lowassa tangu akiwa waziri wa maji na baadae waziri mkuu.

Maskini Pamoja na kuugwa mkono na kila rika lakini kwa hotuba za makada wawili wanaoitaka hii nafasi ya urais ni dhahiri maadui wako wako ndani ya CCM na si UPINZANI kama nilivyokuwa najidaganya hapo awali!! pamoja na hotuba ya kistaarabu uliyoitoa juzi wenzako hawana hilo.

Lakini Mungu ni mwema tutashinda.
 
Attachments

  • 1433185162625.jpg
    1433185162625.jpg
    40.8 KB · Views: 1,877
lowasa ni SHETANI...........Ni zimwi ambalo haliijui tanzania kwa hiyo litatukula na kutumaliza
Jambazi sugu na fisadi papa lowasa kamwe hawezi kuwa rais wa tz
 
Lowassa ni jembe ila naona kitu kitamuangusha ni timu alionayo ya mafisadi..Chenge, karamagi, masha,na uozo wote.Yeye kama yeye namkubali anaweza kuipeleka hii nchi kwenye maendeleo makubwa.huwezi kumlinganisha Lowassa na mkwere..
 
Nitajie basi raisi unayeona anafaa
 
Lowassa hakutoa hotuba nzuri zaidi ya kusizi katikati ya jukwaa wakati ana panda,mpaka aliposaidiwa na mulinzi wake kwa kusukumwa.
 
Lowassa ni jembe ila naona kitu kitamuangusha ni timu alionayo ya mafisadi..Chenge, karamagi, masha,na uozo wote.Yeye kama yeye namkubali anaweza kuipeleka hii nchi kwenye maendeleo makubwa.huwezi kumlinganisha Lowassa na mkwere..

Wewe kumbe ndio hufahamu.hiyo timu unayoiogopa mwenyekiti wake ndio huyo Lowasa unayemkubali sana.
 
Ng'wanapagi

Achana wamalizane wao kwa wao ili UKAWA iwe rahisi kuwachapa oktoba.Mungu hawezi kuwa mwema kwafisadi.
 
Last edited by a moderator:
Lowassa ni jembe ila naona kitu kitamuangusha ni timu alionayo ya mafisadi..Chenge, karamagi, masha,na uozo wote.Yeye kama yeye namkubali anaweza kuipeleka hii nchi kwenye maendeleo makubwa.huwezi kumlinganisha Lowassa na mkwere..
Mauza uza kama ulikua kwenye kichwa changu.yaani hiyo cheni Ni mchwa
 
Last edited by a moderator:
Ni mmoja wa vijana ninayemkubali sana Lowassa tangu akiwa waziri wa maji na baadae waziri mkuu.

Maskini Pamoja na kuugwa mkono na kila rika lakini kwa hotuba za makada wawili wanaoitaka hii nafasi ya urais ni dhahiri maadui wako wako ndani ya CCM na si UPINZANI kama nilivyokuwa najidaganya hapo awali!! pamoja na hotuba ya kistaarabu uliyoitoa juzi wenzako hawana hilo.

Lakini Mungu ni mwema tutashinda.

mtashinda!!!!!!!!!!!! labda mshinde na njaa
 
Lowassa ni jembe ila naona kitu kitamuangusha ni timu alionayo ya mafisadi..Chenge, karamagi, masha,na uozo wote.Yeye kama yeye namkubali anaweza kuipeleka hii nchi kwenye maendeleo makubwa.huwezi kumlinganisha Lowassa na mkwere..
Show me your friends Iwill tell you who youre!
 
lowasa ni SHETANI...........Ni zimwi ambalo haliijui tanzania kwa hiyo litatukula na kutumaliza
Jambazi sugu na fisadi papa lowasa kamwe hawezi kuwa rais wa tz

hizi thread utakuja kuzifuta wenyewe october bado miezi minne tuza uzi wako
 
Back
Top Bottom