nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,910 Aug 23, 2013 #81 Mamndenyi said: Haaaaa Lady doctor Hivi kati yetu ni nani wa kumtoa mwenzie out mwaya kama vipi ni kwenda tu kupumzika ufukweni tunywe mvinyo. Uje na mumeo as mi nitakuwa na mwana siasa wangu copy: chama Click to expand... umeanza lini kutembea na wanasiasa? Vp Bishanga amezingua nini? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi said: Haaaaa Lady doctor Hivi kati yetu ni nani wa kumtoa mwenzie out mwaya kama vipi ni kwenda tu kupumzika ufukweni tunywe mvinyo. Uje na mumeo as mi nitakuwa na mwana siasa wangu copy: chama Click to expand... umeanza lini kutembea na wanasiasa? Vp Bishanga amezingua nini?
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,574 Aug 23, 2013 #82 Lady doctor said: mambo ya Erickb52 yaache kama yalivyo, halizikagi anaoa kila kukicha, sasahivi wanawake wa mtaani amewamaliza ameanza kutongoza hadi dada zake!!!!!!! Click to expand... Kumbe, ngoja tumwitie vikao vya ukoo, tumwonye
Lady doctor said: mambo ya Erickb52 yaache kama yalivyo, halizikagi anaoa kila kukicha, sasahivi wanawake wa mtaani amewamaliza ameanza kutongoza hadi dada zake!!!!!!! Click to expand... Kumbe, ngoja tumwitie vikao vya ukoo, tumwonye
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,738 Aug 24, 2013 #83 nitonye moyo wa ndugu yako Bishanga ameugawa vipande vipande vingi sana hana tena hata chembechembe za mapenzi. nitonye said: umeanza lini kutembea na wanasiasa? Vp Bishanga amezingua nini? Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
nitonye moyo wa ndugu yako Bishanga ameugawa vipande vipande vingi sana hana tena hata chembechembe za mapenzi. nitonye said: umeanza lini kutembea na wanasiasa? Vp Bishanga amezingua nini? Click to expand...