Shikamoo mke wanguAaaah wapi
Hawajajua kama huna
Nani anataka "shombo" la kizee bila hela
Yaani wakijua tu huwaoni hao
Usisahau kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.jidanganye, labda miaka 50 na uwe na maisha ya kueleweka yaan uwe na hela ya kutosha. Lkn miaka 50 huna mbele wala nyuma thubutu! hakuna mtu atakae hangaika na wewe.
Labeka mume wangu......Shikamoo mke wangu
Mke wa ujana wangu
Mama wa watoto wangu
Faraja ya moyo wangu
Kimbilio la nafsi yangu
Msaada wa shida zangu
sababu ya furaha yangu
Kumbatio la huba langu
Blanketi la baridi yangu
Leo usisahau juice ya ukwaju tafazali...Labeka mume wangu......
shida ni nyie bana.mfano hai nilikuwa na dem tumekaa miaka 3 nikijua kabisa nitamuoa nikawa nafwatilia mawasiliano yake bila yeye kujua nikagundua analiwa na libaba limoja linafanya kaz ppf na hilo libaba ni rafik na kaka yake uyo demu.Nikamwacha uyo demu.Utasema mimi ndio namakosa?au mimi nimempotezea mda?
Kama ya kwako...una miaka mingapi ww?
umejuaje? inaeleke unanipata vyemaaKama ya kwako...
Hahaha,nishauona mkuuHaki huuu uz nna uhakika kuna,dem akiuona anaweza kuzimia
Hahaha,nishauona mkuu