Pole mwaya usilie

Pole mwaya usilie

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
32622_10151509513303899_1194727750_n.jpg
 
Hivi Katavi ni mshika mtutu wa Emirates "Anfield"...mwaka huu nahisi atauona mchungu...nyumbani Msimbazi hali mbaya, EPL nako ndio usiseme...

Kaka yaani acha tu, nafikiria kuacha kushabikia mpira kwa muda lakini nashindwa. Nitakomaa hivyohivyo.....
 
Hivi Katavi ni mshika mtutu wa Emirates ...mwaka huu nahisi atauona mchungu...nyumbani Msimbazi hali mbaya, EPL nako ndio usiseme...
ukisikia mwaka wa shetani ndio huu! Lazima atanena kwa lugha!
 
Last edited by a moderator:
MR. Bean anatiaje huruma!
Kuzingatia mikito ya juzi , kakitiwa ukweni ! (Highbury)
 
Kaka yaani acha tu, nafikiria kuacha kushabikia mpira kwa muda lakini nashindwa. Nitakomaa hivyohivyo.....

Mashabiki wa Arsenal hua hatukati tamaa,ni mwiko bora kukonda,acha kukata tamaa kabisa!Arsenal 4ever
 
Yes Passion Lady Arsenal for life.


kwny mashindano lazima mshindi awe mmoja,kwani arsenal ndio ya kwanza kutoka!sisi ndio sisi,na tutabaki kua sisi!
kutolewa?

Naona mnajiteteaaaa...hivi unashabikiaje timu ambayo malengo yake kila mwaka ni kuwa nafasi ya tatu au nne.???

Naona mnajitafutia heart konkasheni ya bureeee.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom