Lengo letu ni ushindi kama wengine,ila tunaposhindwa inabidi tukubali jamani,na wala matatizo ya moyo hayatupati coz bado tuna imani na wenger!one day yes!Naona mnajiteteaaaa...hivi unashabikiaje timu ambayo malengo yake kila mwaka ni kuwa nafasi ya tatu au nne.???
Naona mnajitafutia heart konkasheni ya bureeee.
Lengo letu ni ushindi kama wengine,ila tunaposhindwa inabidi tukubali jamani,na wala matatizo ya moyo hayatupati coz bado tuna imani na wenger!one day yes!
Mtu mzima huwa anagugumia ndani kwa ndani...
Duh....wewe kiboko kaliagogo FC...!!!
stahamili japo unaumia.
Nalog off