Magulumelafulu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 619
- 705
Heeeeeh kwa hiyo wanatwaliwaWazuri hawafi......R.I.P JPM
NWO aluta continua

50 50 100 R.I.P MembeWanakufa wakishazeheka.
Kuna mzee mmoja mweenye hekima alisema WATU WEMA HAWAFI MAPEMA.Natambua wengi watakusahau kwenye hili, lakini mimi nimekukumbuka vile unavyojisikia kuondokewa na watu wako wa karibu sana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Hilo ni la kwanza! Pole ya pili ni kule kuachwa pekeyako na wastaafu wenzako mliokalia kiti kimoja kwa kupokezana kwa vipindi tofauti tofauti
Hawa wote kwa vyovyote vile una kumbukumbu zao nyingi tuu katika maisha yenu ya kielimu, kikazi kisiasa, nje ya siasa, kifamilia na hatimaye kustaafu.
Kuna aina fulani ya upweke na majonzi unapata ambavyo hisia na maumivu yake halisi ni wewe pekee ndio unaweza kuhisi. Huna tena mtu mliyeshiriki aina moja ya majukumu makubwa ya Urais ambaye yuko Hai.. Hata rafikiyo kipenzi EL naye kalala
Kuna aina fulani ya simanzi, uoga, sonona, upweke na huzuni vitakupata hata katikati ya tabasamu laki mbele ya kadamnasi.. Kuna machozi ya siri utalia sirini na kimyakimya bila wengine kujua wala kuona!
All in all jipe moyo.. Ndie pekee uliyebaki hivyo una najukumu mazito zaidi hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025.. Mama anakuamini na kukutegemea sana
Pole JK
View attachment 2920677
siku lile zee la hovyo "likifwariki" nitaenda msibani kwake na bango kubwa kabisa limeandikwa wazuri hawafiWazuri hawafi kabisa pasi ni zile zile fupi fupi tuu, siku lile zee la hovyo "likifwariki" nitaenda msibani kwake na bango kubwa kabisa limeandikwa wazuri hawafi

Wakati ndiyo amefurahia sasa, kabaki peke yakee...watu wasiofikiri watamuona ndiye nguzo iliyobaki, wengine watamwita baba wa taifa! Ilhali ana agenda zake ovu anaziendeleza bila hofu sasa.Natambua wengi watakusahau kwenye hili, lakini mimi nimekukumbuka vile unavyojisikia kuondokewa na watu wako wa karibu sana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Hilo ni la kwanza! Pole ya pili ni kule kuachwa pekeyako na wastaafu wenzako mliokalia kiti kimoja kwa kupokezana kwa vipindi tofauti tofauti
Hawa wote kwa vyovyote vile una kumbukumbu zao nyingi tuu katika maisha yenu ya kielimu, kikazi kisiasa, nje ya siasa, kifamilia na hatimaye kustaafu.
Kuna aina fulani ya upweke na majonzi unapata ambavyo hisia na maumivu yake halisi ni wewe pekee ndio unaweza kuhisi. Huna tena mtu mliyeshiriki aina moja ya majukumu makubwa ya Urais ambaye yuko Hai.. Hata rafikiyo kipenzi EL naye kalala
Kuna aina fulani ya simanzi, uoga, sonona, upweke na huzuni vitakupata hata katikati ya tabasamu laki mbele ya kadamnasi.. Kuna machozi ya siri utalia sirini na kimyakimya bila wengine kujua wala kuona!
All in all jipe moyo.. Ndie pekee uliyebaki hivyo una najukumu mazito zaidi hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025.. Mama anakuamini na kukutegemea sana
Pole JK
View attachment 2920677
Miaka 20-30 tu ijayo asilimia kubwa ya WATU WOTE tunaowafahamu sasa kuanzia marais, viongozi, wazazi, baba wakubwa/wadogo, mashangazi, dada/kaka zetu, classmates, marafiki, wana JF, wasanii, nk watakua wameshakufa..!But a short time to live! James Hadley Chase
may be you are the nextWho is next
Hii sasa ndio point isiyo na mawaaaAcha tuwaachie mambo yao, hata wakati wa mema huwa wanafurahi pekee yao.
I cant waitmay be you are the next
Ngoja tuone atakayefuata
Kazee kepi mkuu?kale kazee sijui katasemajee ama hata huyu alikuwa mbayaa
Ujuaji mwingi kumbe ni uselessNatambua wengi watakusahau kwenye hili, lakini mimi nimekukumbuka vile unavyojisikia kuondokewa na watu wako wa karibu sana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.