Ngoja tuone atakayefuata
Mbona Kikwete alimfanyia ubaya huyu mmasai , na mmasai ameugua sana lakin Kikwete hakufika kumjulia hali😛ole mpe lands Kwa ajili ya mzee Mwinyi ambaye alimfikisha hapo alipo. Lakin sio mmasai.Natambua wengi watakusahau kwenye hili, lakini mimi nimekukumbuka vile unavyojisikia kuondokewa na watu wako wa karibu sana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Hilo ni la kwanza! Pole ya pili ni kule kuachwa pekeyako na wastaafu wenzako mliokalia kiti kimoja kwa kupokezana kwa vipindi tofauti tofauti
Hawa wote kwa vyovyote vile una kumbukumbu zao nyingi tuu katika maisha yenu ya kielimu, kikazi kisiasa, nje ya siasa, kifamilia na hatimaye kustaafu.
Kuna aina fulani ya upweke na majonzi unapata ambavyo hisia na maumivu yake halisi ni wewe pekee ndio unaweza kuhisi. Huna tena mtu mliyeshiriki aina moja ya majukumu makubwa ya Urais ambaye yuko Hai.. Hata rafikiyo kipenzi EL naye kalala
Kuna aina fulani ya simanzi, uoga, sonona, upweke na huzuni vitakupata hata katikati ya tabasamu laki mbele ya kadamnasi.. Kuna machozi ya siri utalia sirini na kimyakimya bila wengine kujua wala kuona!
All in all jipe moyo.. Ndie pekee uliyebaki hivyo una najukumu mazito zaidi hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025.. Mama anakuamini na kukutegemea sana
Pole JK
View attachment 2920677
Hope kina mwijaku na baba level the national disgracemarafiki, wana JF, wasanii, nk watakua wameshakufa..!
Ila maza hayo macho 🥰😘
"Huna tena mtu mliyeshiriki aina moja ya majukumu makubwa ya Urais ambaye yuko Hai.. Hata rafikiyo kipenzi EL naye kalala"!Natambua wengi watakusahau kwenye hili, lakini mimi nimekukumbuka vile unavyojisikia kuondokewa na watu wako wa karibu sana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Hilo ni la kwanza! Pole ya pili ni kule kuachwa pekeyako na wastaafu wenzako mliokalia kiti kimoja kwa kupokezana kwa vipindi tofauti tofauti
Hawa wote kwa vyovyote vile una kumbukumbu zao nyingi tuu katika maisha yenu ya kielimu, kikazi kisiasa, nje ya siasa, kifamilia na hatimaye kustaafu.
Kuna aina fulani ya upweke na majonzi unapata ambavyo hisia na maumivu yake halisi ni wewe pekee ndio unaweza kuhisi. Huna tena mtu mliyeshiriki aina moja ya majukumu makubwa ya Urais ambaye yuko Hai.. Hata rafikiyo kipenzi EL naye kalala
Kuna aina fulani ya simanzi, uoga, sonona, upweke na huzuni vitakupata hata katikati ya tabasamu laki mbele ya kadamnasi.. Kuna machozi ya siri utalia sirini na kimyakimya bila wengine kujua wala kuona!
All in all jipe moyo.. Ndie pekee uliyebaki hivyo una najukumu mazito zaidi hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025.. Mama anakuamini na kukutegemea sana
Pole JK
View attachment 2920677
Ila hayo mawazo hayakwepeki Hamunde yako so automatic na hayaji muda WoteMkuu Mshana hawa viongozi kama akina Jakaya ,huwa hawawazi negative wana nawaza postive ,saiv anawaza hiyo chance ya kuwa peke yake ataendeleza vipi atakao wa acha.Bila shaka akiwaza waliokuwa marafiki zake wametangulia haitamsaidia kwa chochote.

Aisee hizi **** hizi 😂
Nikifa watakaobaki watajua nani aliyefuata. Life is too shortUnaweza kufa hata hujaona anayefuata😁,DUNIA bana ukijicheki ni kama utakuwepo Milele!
Hivi Mzee.Makamba yuko wapi!?Wazuri hawafi......R.I.P JPM
NWO aluta continua
Sijui yupo kwenye kichaka ganiHivi Mzee.Makamba yuko wapi!?