Pole Mstaafu Jakaya Kikwete

Pole Mstaafu Jakaya Kikwete

Kifo ni utimilifu wa hadithi ya mwanadamu...
Realm of eternity
96585f0fae1c7010aa7c4aefb86618d7.jpg
 
Natambua wengi watakusahau kwenye hili, lakini mimi nimekukumbuka vile unavyojisikia kuondokewa na watu wako wa karibu sana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.

Hilo ni la kwanza! Pole ya pili ni kule kuachwa pekeyako na wastaafu wenzako mliokalia kiti kimoja kwa kupokezana kwa vipindi tofauti tofauti

Hawa wote kwa vyovyote vile una kumbukumbu zao nyingi tuu katika maisha yenu ya kielimu, kikazi kisiasa, nje ya siasa, kifamilia na hatimaye kustaafu.

Kuna aina fulani ya upweke na majonzi unapata ambavyo hisia na maumivu yake halisi ni wewe pekee ndio unaweza kuhisi. Huna tena mtu mliyeshiriki aina moja ya majukumu makubwa ya Urais ambaye yuko Hai.. Hata rafikiyo kipenzi EL naye kalala

Kuna aina fulani ya simanzi, uoga, sonona, upweke na huzuni vitakupata hata katikati ya tabasamu laki mbele ya kadamnasi.. Kuna machozi ya siri utalia sirini na kimyakimya bila wengine kujua wala kuona!

All in all jipe moyo.. Ndie pekee uliyebaki hivyo una najukumu mazito zaidi hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025.. Mama anakuamini na kukutegemea sana

Pole JK

View attachment 2920677
IMG-20240301-WA0001.jpg
 
Ujumbe uwafikie watawala wote pamoja na yule bibi,,ipo siku vyote mlivyoiba au kuchukua visivyo haki mtaviacha mtakwenda peke yenu kama mlivyo..uyo hayat uyo ameacha nyumba za kifahar zaid ya kumi....
 
Natambua wengi watakusahau kwenye hili, lakini mimi nimekukumbuka vile unavyojisikia kuondokewa na watu wako wa karibu sana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.

Hilo ni la kwanza! Pole ya pili ni kule kuachwa pekeyako na wastaafu wenzako mliokalia kiti kimoja kwa kupokezana kwa vipindi tofauti tofauti

Hawa wote kwa vyovyote vile una kumbukumbu zao nyingi tuu katika maisha yenu ya kielimu, kikazi kisiasa, nje ya siasa, kifamilia na hatimaye kustaafu.

Kuna aina fulani ya upweke na majonzi unapata ambavyo hisia na maumivu yake halisi ni wewe pekee ndio unaweza kuhisi. Huna tena mtu mliyeshiriki aina moja ya majukumu makubwa ya Urais ambaye yuko Hai.. Hata rafikiyo kipenzi EL naye kalala

Kuna aina fulani ya simanzi, uoga, sonona, upweke na huzuni vitakupata hata katikati ya tabasamu laki mbele ya kadamnasi.. Kuna machozi ya siri utalia sirini na kimyakimya bila wengine kujua wala kuona!

All in all jipe moyo.. Ndie pekee uliyebaki hivyo una najukumu mazito zaidi hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025.. Mama anakuamini na kukutegemea sana

Pole JK

View attachment 2920677
Uko wapi leo nkuletee ile chupa yako pendwa kubwa kubwa mkuu?? Pole mzee wetu jah kaya
 
Nasikia kaburini kuna joto na upweke. Hasa kama ulikuwa muovu
 
Back
Top Bottom