Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Wanabodi,
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Mb), amefiwa na mzazi mwenzake ambaye ni baba wa mtoto wa kiume aliyemuoa binti wa Mhe. Lowassa.
Kwa vile humu jf tuna kikundi chetu kiitwacho PROEL, nawaombeni tumpe pole zetu Mhe. Lowassa!.
Nawaombeni msiulize majina na wale mnaowajua naombeni msiwataje kwa hii sio thread ya RIP bali pole tuu kwa Mhe. Lowassa kupatwa msiba!.
Pole Mzee wetu Lowassa.
Na kwa vile yeye sio member humu, pole zenu mwageni hapa nami nitamfikishia kwa vile nitahudhuria msiba huu mkubwa kwa familia ya Lowassa!
watu kwa kujipendekeza hamjambo
hata mimi nimefiwa na jirani wa jirani wa boss wangu naombeni pole
Raisi wetu mtarajiwa anaandamwa na matatizo
alikuwa mdogo wake,sasa tena huyo du
tupo pamoja ktk wakati huu mgumu
R.I.P BABA
ila bado sina chama
naombe ugombea binafsi upite
Hivi kiswahili hakina neno/jina la uhusiano wa namna hii? Naona mods wamebadilisha, wameita "mkwewe" lakini still bado inapoteza. Inabidi tuazime majina ya 'kilugha' sasa....kule kwetu tunaitana "kivyele" (kwa hiyo Lowassa amefiwa na 'kivyele' wake/chake!)Mkuu pasco, naamini unaweza kutupa ufaham mpana juu ya kichwa cha uzi huu. mimi nimeelewa kuwa aliyefariki ni mwanamke aliyepata kuzaa mtoto na lowasa, iweke sawa mkuu, naongelea heading.
watu kwa kujipendekeza hamjambo
hata mimi nimefiwa na jirani wa jirani wa boss wangu naombeni pole
Aliyelazimishwa kujiuzuru kwa kashfa kubwa ya Richmond!! Hakujiuzuru hata kwa kujitolea... Alilazimishwa na kamati...Pole sana Waziri Mkuu mstaafu Mhe. Lowassa.
watu kwa kujipendekeza hamjambo
hata mimi nimefiwa na jirani wa jirani wa boss wangu naombeni pole
doh!! RIP LOWASA
Hapo kwenye wekundu ndipo unapotosha,kwa mwandishi wa habari huo ni upotoshaji wa maksudi,anyway subiri panapo majaliwa utaupata ukuu wa kurugenzi ya mawasiliano pale magogoniWanabodi,
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Mb), amefiwa na mzazi mwenzake ambaye ni baba wa mtoto wa kiume aliyemuoa binti wa Mhe. Lowassa.
Kwa vile humu jf tuna kikundi chetu kiitwacho PROEL, nawaombeni tumpe pole zetu Mhe. Lowassa!.
Nawaombeni msiulize majina na wale mnaowajua naombeni msiwataje kwa hii sio thread ya RIP bali pole tuu kwa Mhe. Lowassa kupatwa msiba!.
Pole Mzee wetu Lowassa.
Na kwa vile yeye sio member humu, pole zenu mwageni hapa nami nitamfikishia kwa vile nitahudhuria msiba huu mkubwa kwa familia ya Lowassa!
Mkuu Bulesi asante kwa wasifu wako kwangu. Bahati nzuri sana mimi ni moderator wa kisiri siri na ni kweli true identity zote za wanajf nimeshazipeleka ofisini Tiss pale St. Peters hivyo kama ilifikiri haijulikani, kaa ukijua unajulikana vizuri tuu.Huyu bwana aliyeanzisha uzi huu ni mtu wa kujipendekeza pendekeza sana kwa viongozi kwa kweli hastahili wala hana hadhi ya kuwa na wanaJF!! Mtu mzima lakini kila wakati ni wakujikomba komba ni mtu wa kuogopwa sana na kumuweka mbali I hope he is not one of the moderators ama sivyo identity za wanaJF zote atazipeleka TISS!!