Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,637 Reaction score 220,409 Aug 8, 2020 #41 The Boss said: Membe sijaelewa kabisa calculations zake Click to expand... Amekuja wakati wa Tundu Lissu, wakati wa Membe ulikua 2015.
The Boss said: Membe sijaelewa kabisa calculations zake Click to expand... Amekuja wakati wa Tundu Lissu, wakati wa Membe ulikua 2015.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,059 Aug 8, 2020 #42 Countrywide said: Nyie si ndio mlisema 2020 tunaenda na jasusi mbobezi?? Click to expand... Kwenda na Lissu inakuuma? Hujui pana masikilizano mboni kati ya vyama husika? Matusi anayotukanwa Membe yako wapi? Au yale yale ya kurukia treni kwa mbele kutaka kuhadaa watu? Hatudanganyiki!
Countrywide said: Nyie si ndio mlisema 2020 tunaenda na jasusi mbobezi?? Click to expand... Kwenda na Lissu inakuuma? Hujui pana masikilizano mboni kati ya vyama husika? Matusi anayotukanwa Membe yako wapi? Au yale yale ya kurukia treni kwa mbele kutaka kuhadaa watu? Hatudanganyiki!