Pole January Makamba

Ewe mchungaji ama mwinjilist, hiyo posho ungeikataa angalau hayo maswali ungeweza kuyauliza pale pale.
 

Kweli sasa watu hatumuogopi hata muumba,yani kama kweli wewe nae ni mchungaji basi mwisho wa dunia umekaribia,na ndio maana siku hizi kashfa za za ninyi mnaojiita watumishi wa Mungu zimekua nyingi,mara kuuza unga,mara ugoni basi tu ilimradi siku zinakwenda,leo mnaibukia kwenye siasa,kaaaaz kweli kweli!
 
Kwa hili tu pamoja na Upentium 1 wako wote bwana mdogo Makamba umechafuka mbayaaaaa.
 

pole ndugu kwa hasira, ila kama angeuliza huko, sisi tungeyajulia wapi haya mambo? Kabla ya kumjia juu mtoa mada fanya uchunguzi wako halafu njoo nao. Si watoa mada wote ni wafuasi/wakereketwa wa siasa na wote wanaoingia bar ni walevi
 

kama ulivyojipambanua wewe ni mchungaji na ulihudhuria. Embu weka jina lako kamili mtu wa Mungu la sivyo na wewe nitakuwaka katika kundi lileee.......... Maana kama kiongozi wa dini utapitia mlango wa uani nani atapitia mlango wa mbele. Pili kwa nini wewe hukutoa taarifa mapema kuwa kuna kitu kama hicho? Nadhani na wewe una kitu unaficha ila katika maelezo yako ya mwisho inaonyesha ni kwa jinsi gani unampigia debe dogo
 

hivi ni rushwa au sitting allowance?
 
Hakuna mchungaji mnafiki kama wewe.

Weka wazi unafiki wake na sio kutoa majibu mepesi kwa maswali mazito, au kwa kuwa Makamba nae ni wa chama chenu basi kila atakalofanya ni sahihi. !? Dah.. wamewasema tu mawaziri kumbe na wananchi "mizigo" tupo....!?
 

Angejuaje kuwa kikao kina agenda gani kama angeweka hapa kabla ya kuhudhuria!?? angetabiri..!? Should he put the cart before the horse..!? Aliyekuwa na uwezo huo wa kutabiri mambo kabla bongo hii alikuwa ni yule Al marhum sheikh wa pale Magomeni tu.
 

Kiwanda cha Mponde Shelukindo ndie aliyeingia ubia na mhindi ambaye amekuwa akiwanyonya wakulima wa chai hata wakaamua mh January asuruhishe na kajitahidi kiasi cha uwezo wake ishu bado ni ngumu. Soma hapa upate mwanga na uache upotoshaji.
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/485033-hali-inayoendelea-katika-kiwanda-cha-mponde-wilayani-lushoto-ni-ya-kusikitisha-new-post.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/484334-kauli-ya-pinda-sasa-kwa-january-makamba-new-post.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/488780-makamba-amwandikia-barua-pinda-new-post.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/523462-kiwanda-cha-mponde-kuendelea-kufungwa-mh-kiza-atapendelea-new-post.html
2. Ushirika akiunzisha yeye utafaa kwakuwa hautoanzishwa katika misingi ya ulaghai kama huu uliopo sasa ulioanzishwa na Fisadi Shelukindo.
3. Bumbuli ni halmashauri bado haijawa au haijaitwa wilaya. Process inaendelea kuelekea kuwa Wilaya kamili.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, umeniongezea mashaka juu ya uwezo wa maaskofu hao kiroho na umeniongezea kuamini kuwa la mtoa hoja ni sahihi. Maaskofu hawayajui hayo ila Makamba Jr ndiye ayajuaye! Kweli amelaaniwa amtegemeaye binadamu. Maaskofu kama hawalijui jambo si wamwulize Mungu? Hatuna Maaskofu, waliopo ni njaa tu imewaweka. Na rushwa au hongo sio lazima wote mpewe, kama ulikosa wewe usiwe msemaji wa waliopewa. Makamba anataka urais, unabisha nini? Na umwambie, muda wake baado. Asubiri mpaka tunayemfahamu tutakapoondoka kama Kikwete/Lowassa walivyosubiri Nyerere alipoondoka wakaingia/wanataka kuingia.
 
Tunakujua sana kwa mabandiko yako humu. Unaendeshwa pia na itikati ileee!

Jf' ni sehemu nzuri sana yakuwajua watu wenye sura mbili. Wewe pia alhamdulilah nilishakujua kitambo sana. Hiyo itikadi uisemayo najua pia wewe ndio inayokuendesha ndio maana tofauti na ilivyokawaida yako ya kuhoji credibility ya taarifa ziletwazo humu kuhusu shemeji Mbowe na uwapendao leo ile akili umeitia mfukoni na kugeukia na kushupalia haya majungu.
 
ant you sayng January was invited in Mwanza ha ha you must be frustrated some one spilled the beans ,January the alleged corrupt he should visit JF and tell the truth

There no secrecy in this global, January must know. In fact we thank the pastor to reveal Jan's corruption. One thing I know, God will not allow weaked persons to govern this country.
 
There no secrecy in this global, January must know. In fact we thank the pastor to reveal Jan's corruption. One thing I know, God will not allow weaked persons to govern this country.

Another superstitional dreams.
 
Divisheni 4 imeingiaje kwenye mkutano wa mwanza....
Kumdhulumu shelukindo kunaingiaje.....
Fishy thread....
 
Wamarekani wanataka Makamba Jr awe Rais, wanaamini chini ya Makamba Jr Masilahi yao yatakuwa salama...Fedha za kumuwezesha tayari zipo...

Zimemshinda kodi za makampuni ya simu kila siku nchi inaibiwa makampuni yanalipa peanut eti anataka urais...........
 

sina shaka kuwa alichokisema ndugu alinda ni uongo tena uongo mtupu! Kanda ya ziwa pekee haina maaskofu 152 vinginevyo kama anadhani kila kiongozi wa dini ya kikristo ni askofu!
 
Mtoa mada,,,haya unayoyauliza hapa ulikosa wasaa wa kumuuliza????ulijua unahongwa ukapokea????Januari ana ukurasa wake wa fb,tweeter,nenda kamuulize,,,,nyie viongoz wa kidini ni wanafki tu,unataka tujue kuwa ulikua na Januari???mxiuuuuuuuu
Angemuuliza kulekule, wapiga kura tungejuaje?
 
bado tuna safari ndefu sana maana sijui hata hayo makosa ya matumizi sahihi ya lugha tatizo ni shule au nini? pia umefanyiwa yooote then unakuja kumuuliza maswali huku si bora ungeomba namba yake ya simu.
halafu wapiga kura tungejuaje kama kuna mtu anataka kununua kutuongoza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…