Kwanini waliongezeka kama awali ilikuwa njema?Utapitia mlango upi?
Amin amin nakuambia, wataondoka wote lakini wewe utabakia... kwa maana ni wewe pekee utakayebakia, wewe mwenyewe kutoa habari.
Cc Kaizer kwa taarifa kwa ndugu wote wa Mamsera mpaka Mashati
Ni katika kutoa haki sawa kwa wote mamaKwanini waliongezeka kama awali ilikuwa njema?
Adamu aliridhika na Eve au yeye hakuona umuhimu wa kuwa Samaritan?Ni katika kutoa haki sawa kwa wote mama
Kwasababu Eve alikuwa peke yake... huoni tofauti ya ratio hapo?Awamu aliridhika na Eve au yeye hakuona umuhimu wa kuwa Samaritan?
Hata Zacharia Baba wa Yohana Mbatizaji aliridhika na Sarah ingawa alikuwa mgumba na Mungu alitenda miujiza.Kwasababu Eve alikuwa peke yake... huoni tofauti ya ratio hapo?
Kuna binti mmoja yeye alikuwa anasema asante
Kumbee!Ulitakuwa umuoe huyo chap chap.
Kama bado yupo yupo twende tukamlipie mahari kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo salama.Hehehe.
Mzima mkuu? Ukiona hupewi pole na asante kwa mfululizo ujue umeshafeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Aamin.Namshukuru Mungu mkuu. Ni mwema na mpya kila siku asubuhi.
Ubarikiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitakuwa umuoe huyo chap chap.
Kama bado yupo yupo twende tukamlipie mahari kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm namuenzi Ruge sioi
Ujue ufunge na kukesha kwangu