Pole! Iliyozua utata...

Kuna Uzi niliwahi kuleta hapa ! Nikiuliza " pole apewayo mwanaume baada ya kudu inamaana gani?"

Wengine walinikebehi, wengine wakanijibu hivi na vile , kumbe hata wanapofundwa wanaambiwa watoe pole tena itokee puani da!

Moja ya sababu nimeibamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole yakuchimba kisima hadi maji yakapatikana.nasisi wachimba kisima inatakiwa tuitikie asante iliyoshiba.
 
Hii kitu haina uzee ndugu yangu FaizaFoxy mbona yupo sawa tu na uzi wake. Hii mambo ya pole na kubana pua hayana uzee. Kama unabisha kaulize Kapuya.
 
Pole baada ya mume kugegeda gogo kwa lisaa limoja na nusu,πŸ˜‚


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…