Pole Frank, mchumba hasomeshwi

jambooo afandeeee!!!! pole sana soja bora uende somalia bt co kumsomesha mwanamke
 
jambooo afandeeee!!!! pole sana soja bora uende somalia bt co kumsomesha mwanamke
 
usimbadilshe mwanamke ili uje kumuoa au usimuoe mwanamke ili umbadilishe
 
Yani ukitaka ugonjwa wa presha ujanani fanya hisani hio kwa mwanamke utajuta. Mimi kuna jambo nkikumbuka natamani kugeuka lusifa sema tuu nimelichukulia ustaharabu tuu japo najua kuna hawa watu wasikie tuu.
 
WOMEN,WHISKY &WAR!!km kashindwa hyo ya kwanza ambayo ni rahisi huyo soja hajaivaaa!!!over
 
Kabisa sijui kama atakuja amuamini msichana tena

Mi nimesoma private nikiwa mtu mzima nikapata mtu mzima mwenzangu, tukaweka miadi, haaa bahati nzuri kwenye mitihani tulifuatana kwa pembeni nilimlazimisha asajiri masomo ya sayansi ili nimsaidie nikamsaidia tulivyo maliza tu mwezi mmoja nasikia tayari mahari katolewa, niliumia sana,sasa nae kaajiriwa hata sim hapigi alinifanya nhkapata three badala ya one, sita msahau kabisaaaaaaa.
 

pole mkuu.
 

Kamsomesha kama naani yeye mzazi wake au ndugu yake? fimbo ya mbali inaua nyoka?wee ukiamua kunipeleka chuo nidunge mimba angalau itapunguza macho juu juu kule maake nani atanichukua na mimba yangu? hata nikizingua uenda ukapata mtoto kwa gharama ulizoingia ikakupunguzia machungu angalau. Ukitaka msomi tafuta aliyeshasoma sasa ni wachache wenye kujua thamani ya niliyenaye bila kuingza tamaa kubwa ya kubeba mpk mimba usiyodhania.
 
Mwanamke hasomeshwi,unaweza ukajinyonga,msomeshe mkeo siyo mwanamke ambaye bado hujamuoa.
 
Ila akikwepa we mtengue mguu mmoja atakukumbuka milele na atakuwa mfano na mshauri mzuru kwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…