Kuna dada, kaka, binamu, watoto wa dada, watoto wa kaka waliohitaji msaada wa kusomeshwa lakini woooote hawa Frank hakuwaona akaamua kumsomesha MSIMBE kwa gharama kubwa. Nadhani malipo ni hapa hapa duniani.

Kweli kabisa Inno mimi nina ndugu wengi ambao wanahitaji msaada wangu wa masomo na uwezo wa kuwasaida sina. Nashangaa mtu anamsomesha mwanamke baki ambaye hawana undugu wowote wa kinasaba wala kimkataba (i.e. Mke na mme).

Wapo Wanawake Wachache Wenye Adabu.Hawa Kizazi Cha Facebook Wanatembea Bila Pichu Misivi Vimewasimama Kama Mkia Wa Dog.Kuhimili Genye Kwa Binadamu Inataka Moyo Na Dini Zaidi.Nilishawahi Kulipa Ada Sio Siri.Baadae Anakuja Anasema Mnununulie Baba Yangu Tuk Tuk Kama Unanipenda.Khe Nikaingia Mitin Mana Niliona Nachunwa Kama Mbuzi Ambae Hajachinjwa Maumivu Yanakua Makali.Nilistuka Nikakimbia Mazee