Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,209
- 4,189
- Thread starter
- #41
Haya mkuu pole kwa kunibaniaMkuu naogopa BAN maana unyambulisho mzuri ambao utanielewa vizuri humu hauruusiwi
Mbaya zaidi sina tafsida zake
Haya mkuu pole kwa kunibaniaMkuu naogopa BAN maana unyambulisho mzuri ambao utanielewa vizuri humu hauruusiwi
Mbaya zaidi sina tafsida zake
Inawezekana kweli!!!!Pole kwa kumaliza kilomita 7
[emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]pole kwa kuchimba madini
Sidhani mkuu !!!hahaaa....mkuu kama unapewaga pole ujue your work done is equal to ZERO
Naweza kukubali lkn ???Mila za kiafrica zinatufanya tujenge tabia ya pole pindi tumalizapo kazi kwa ufanisi
Wanaoniambia hiv huwa hawaombi hela katk kipindi cha namna hiikuombwa hela mkuu
Mkuu kuna mmoja ilibidi apumzike saa nzima ndo aanze safariNi kweli ina maana umemuacha alivyo na nguvu zake. Ukimgegeda vyema hata pumzi ya kukupa pole huwa hanayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sidhani mkuuPole nyingi kwa kupunguza nguvu za mwili na pesa itayokutoka
Mkuu umenena nadhani ilishakutokea kumbe sio msiba wangu peke yanguHebu cku moja simamia ukucha halafu umpige show ya kibabe kama atakwambia pole,,,,,atabaki anajigeuza tu kitandani
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Ukarimu tu huo. Napendaga sana kupewa pole napomaliza tukio
Mkuu ujue hakuna kiwanda pasipo mapenzi unajua hiloTanzania ya viwanda au ya mapenzi.
namba moja imekaa powa kwa upande wangu hehehehe!!!Ina maana zaidi ya moja.
1.Kazi uliyofanya ni nzito imeridhisha na hivyo itakuwa imekuchosha.(moyoni kwake wewe ni shujaa)
2.Umejihangaisha na ukajitahidi lakini kazi haijaridhisha,na kwa hiyo unapewa pole kwa udhaifu ulioonyesha. (inaambatana na huruma moyoni)
3.Ulipagawa ukawa kama kichaa mambo yakawa ni vululuvululu tu unapewa pole kwa ushamba wako (na kicheko cha dhihaka moyoni)
KumwagaWakuu habari za weekend!!!
Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa wote mtakaosoma ujumbe na wale mtakaonijibu na hao watakaopita kimya
Nimekuwa nikitatizwa na hili jambo pindi mwanaume anapomaliza kubanjuka mwanamke anatoa neno hili
"Pole pole sana mpenzi" huku mwanaume ukitokwa na jasho na mhemo wa juu kama ulikuwa unambio ndefu sana
Hivi hii inaashiria nini kwa mwanaume?
Na mwanamke anakuwa na maana gani kwa mume
Natanguliza shukrani
Mkuu kuna kaukweli siyo!!!Pole hiyo maana yake anakuonea imani unajiua