Tunakubaliana kitu kimoja ni nzuri.Its overrated,kwa bongo wala haina mzuka coz mazingira hayarushusu na huku kibongo bongo life lake zoezi tosha haina haja ya kujitoa jasho kisa game...nzuri lakini
Ahahaha kweli maana kuna picha kene mtandao inaonesha watu wazima wakiwa addicted na gemu hilo,lakini huku bongo watu wengi hawaijuiTunakubaliana kitu kimoja ni nzuri.
Na nilichopenda zaidi jinsi unavyotembea binafsi niko na baiskeli lol.
I'm so addicted. Ninachopenda si game ya watoto au tu vijana hata sisi
wa umri huu tunacheza.
mimi si mpenz wa pokemon ila linapokuja suala la games Nintendo wapo dunia yao ya kipekee. games zao zote ni unique na mambo mengi yanayohusiana na games wao ni waanzilishi. sitashangaa hii ikawa ni trend na kampuni kibao za games kuanza kuiga.Its overrated,kwa bongo wala haina mzuka coz mazingira hayarushusu na huku kibongo bongo life lake zoezi tosha haina haja ya kujitoa jasho kisa game...nzuri lakini
Yaani wajapan noma wale,na kweli watu wengi wameshapata idea na game nyingi zitaanzakua virtual reality..mimi si mpenz wa pokemon ila linapokuja suala la games Nintendo wapo dunia yao ya kipekee. games zao zote ni unique na mambo mengi yanayohusiana na games wao ni waanzilishi. sitashangaa hii ikawa ni trend na kampuni kibao za games kuanza kuiga.
Mkuu kuna Pokemon na hii ni Pokemon go. hii ni level nyinginemimi si mpenz wa pokemon ila linapokuja suala la games Nintendo wapo dunia yao ya kipekee. games zao zote ni unique na mambo mengi yanayohusiana na games wao ni waanzilishi. sitashangaa hii ikawa ni trend na kampuni kibao za games kuanza kuiga.
Hiyo pokemon go haijawa kwa nchi zote bado..ipo marekani na baadhi ya nchi..ila ukitaka download apk yake jaribu kama itaplaywakuu ebu tuelezeeni kidogo ili game. maana huko mitandaoni naona kila mahala Pokemon Go.
Hafau pia katika Play Store silioni.
kila mtu ana genre zake, mimi nacheza srpg, football managemet na mpira peke yake. hizo ndio aina za game ninazopenda nikicheza action au rpg za kawaida si enjoy, hizi games za simu za online ndio kabisaa sina hata time nazo.Mkuu kuna Pokemon na hii ni Pokemon go. hii ni level nyingine
kila mtu ana genre zake, mimi nacheza srpg, football managemet na mpira peke yake. hizo ndio aina za game ninazopenda nikicheza action au rpg za kawaida si enjoy, hizi games za simu za online ndio kabisaa sina hata time nazo.
Mkuu football management unacheza game gani (jina)? Mi napenda sana game za aina hiyo ila nashindwa kuzipata
Link gan nalipataa na lina ukubwa gan..Binafsi huwa si chezagi video games at all.
Especially "cellphone games " rafiki
Yangu mmoja ameni introduced kwenye hii game initwa Pokemon Go.
Nimejikuta nime tembea kilometa 32 bila hata kujua.
Kwa wale ambao hawataki mazoezi hii game itakusaidia mno.
Honestly speaking nimependa mno jinsi wanavyochanganya mazoezi na games.
Kwa wale wanaofuatilia hizi types of games Je kuna games nyingine Kama hii?
Kwa wale ambao wame download hii game mnaichukuliaje??
Umeshafika level gani?Binafsi huwa si chezagi video games at all.
Especially "cellphone games " rafiki
Yangu mmoja ameni introduced kwenye hii game initwa Pokemon Go.
Nimejikuta nime tembea kilometa 32 bila hata kujua.
Kwa wale ambao hawataki mazoezi hii game itakusaidia mno.
Honestly speaking nimependa mno jinsi wanavyochanganya mazoezi na games.
Kwa wale wanaofuatilia hizi types of games Je kuna games nyingine Kama hii?
Kwa wale ambao wame download hii game mnaichukuliaje??