DuhWalichagua yenye hadhi yake
Podium Ni kizimba, Mimbari ni sehemu ya kuhubiria ambayo inajengwa kwa juu zaidi ukilinganisha Na kizimbaPodium kwa kiswahili... Mimbari
HawajiaminiHao walinzi nao wanazidi mno mda mwingine hadi akiwa ndani ya ikulu utakuta kazungukwa na majemedari kadhaa hivi, had huwa najiuliza mbinu hii ya ulinzi wameikopi wapi?
Kwanza mimi najiuliza ile rangi nyekundu ya nini Pale kwenye podium, Tuna bendera nzuri sana mkuu kwanini wasi design podium ya namna kama bendera au hata wachukue walau rangi ya kumatch na Suit anazovaa mkuuKwa kifupi Podium yetu ni mbaya mno..
Kagame styleHao walinzi nao wanazidi mno mda mwingine hadi akiwa ndani ya ikulu utakuta kazungukwa na majemedari kadhaa hivi, had huwa najiuliza mbinu hii ya ulinzi wameikopi wapi?
Masharti ya mgangaKwanza mimi najiuliza ile rangi nyekundu ya nini Pale kwenye podium, Tuna bendera nzuri sana mkuu kwanini wasi design podium ya namna kama bendera au hata wachukue walau rangi ya kumatch na Suit anazovaa mkuu
Mkuu kuna vilaza kibao sana siku hizi waliojipa jukumu la kukosoa Magufuli kwa lolote ili mradi wawe wamepost uzi wa kukosoa Magufuli. Ni hakika ukiona hiyo picha mara moja unatambua ni tatizo la mpiga pichq na sio podium kuwa ndefu.Ni namna ya upigaji picha, si urefu wa podium. Wenye profession ya upigaji picha wanaelewa mtu wa hadhi ya rais anatakiwa apigwe picha kutokea chini yeye akiwa juu, ina maana yake na si wote wanaelewa hili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mleta mada ni mmoja wa watu ambao hawajawahi kuona zuri kwao kila kitu ni kibaya tu as long as hakijafanywa na upande wake.tatizo ni rangi?? au ni urefu wa kizimba??? au mpiga picha??? mleta mada what is your concern?
Boss penye kusifia tusifie tu na penyw kukosoa tukosoe, Kwanza hapo kwenye uzi wangu sijamkosoa Mheshimiwa Rais hata kidogo, Isipokuwa nimetoa mapendekezo kwa Team anayoambatana nayo mana Rais hata hahusiki na huo uundaji wa iyo podium[emoji23] [emoji23] [emoji23] mleta mada ni mmoja wa watu ambao hawajawahi kuona zuri kwao kila kitu ni kibaya tu as long as hakijafanywa na upande wake.
ni wale ambao ukikaa wanasema kwa nini amekaa.
ukisimama wanasema kwa nini amesimama.