Angekuwa na huo mkwanja asingekuwa kibarua wa domoKutembea na hela nyingi, tena hela za kibongo milioni gunia, ni ujima.
Mimi natembea kwenye wallet ukichukua kadi moja tu ina $20,000.
Na hiyo ni moja tu. Bado account nyingine.
Natembea na $200 cash za $20 (noti kumi) kwa emergency itakayohitaji cash au manunuzi ya sehemu ambazo hawachukui card, ambazo ni chache sana. Ni rahisi kuambiwa watu hawachukui cash wanachukua card tu kuliko kuambiwa hawachukui card wanachukua hela cash tu.
Hususan kwa sababu watu wanatumia sana mitandao na kadi siku hizi.
Zaidi ya hapo ni ushamba na kujifanya uwe target. Sasa hiyo watoto wa kihuni wakishamjua hivyo wanamfanya target.
Juzi kati nilikuwa naangalia kipindi cha Bartender cha Wasafi TV Maulid Kitenge akiwa mgeni. Akaulizwa anatumia sh ngapi kwa siku, eti akatoa mfukoni bulungutu la milioni moja. Jamani hizi si kufuru hizi kwa usawa huu wa Magu. Kakangu kitenge acha dharau ukizingatia una ndugu zako wazaramo kibao hawana mbele wala nyuma
Lkn hakufikii wewe.Ana hela gani mshamba tuu
We uliye serious umegundua nn tangu uzaliwe. Mfyuuuuuuunimekushusha vyeo mkuu, yaan kitu kidogo hivo unakifungulia thread?? itakua haupo serious
Za kwake lakini...Ana hela gani mshamba tuu
Anzisha uzimbona humzungumzii mkulu anaetembea na mabungurutu na kugawa kama ngugu??
Hizo USD kwa hapa bongo unatumia maeneo gani?Kutembea na hela nyingi, tena hela za kibongo milioni gunia, ni ujima.
Mimi natembea kwenye wallet ukichukua kadi moja tu ina $20,000.
Na hiyo ni moja tu. Bado account nyingine.
Natembea na $200 cash za $20 (noti kumi) kwa emergency itakayohitaji cash au manunuzi ya sehemu ambazo hawachukui card, ambazo ni chache sana. Ni rahisi kuambiwa watu hawachukui cash wanachukua card tu kuliko kuambiwa hawachukui card wanachukua hela cash tu.
Hususan kwa sababu watu wanatumia sana mitandao na kadi siku hizi.
Zaidi ya hapo ni ushamba na kujifanya uwe target. Sasa hiyo watoto wa kihuni wakishamjua hivyo wanamfanya target.
Yuko mbele huyoHizo USD kwa hapa bongo unatumia maeneo gani?
Hususani hizo 20 USD unazosema ni kwa ajili ya emergency..
Sijakanyaga Bongo miaka kadhaa.Hizo USD kwa hapa bongo unatumia maeneo gani?
Hususani hizo 20 USD unazosema ni kwa ajili ya emergency..
Familia ya karibu?Sijakanyaga Bongo miaka kadhaa.
Hata likizo siku hizi naenda visiwa vya Turks and Caicos, na familia ya karibu wanakuja kunitembelea nilipo karibu kila mwaka.
Familia ya karibu?
Ndugu wa karibu, siblings and parents.Familia ya karibu?
Angekuwa na huo mkwanja asingekuwa kibarua wa domo
Juzi kati nilikuwa naangalia kipindi cha Bartender cha Wasafi TV Maulid Kitenge akiwa mgeni. Akaulizwa anatumia sh ngapi kwa siku, eti akatoa mfukoni bulungutu la milioni moja. Jamani hizi si kufuru hizi kwa usawa huu wa Magu. Kakangu kitenge acha dharau ukizingatia una ndugu zako wazaramo kibao hawana mbele wala nyuma
Kuna sehemu nyingi hawatumii hizo. Hizo ninazo pia. Watu wanachangiana CashApp etc, most local stores will take cards but not Apple Pay etc.
Plus, I detest Apple anything.
I bought the large iPad, I think its the 12 inches one, primarily because I was fascinated by the DJing software.
I dropped a G on that, I belive it was the 64GB version too.
I ended giving it to dogo mmoja hivi cause I just wasn't into that whole Apple ecosystem thing.
Samsung Pay is a joke, even in Gotham it is not that well adopted.
Plus, I know too much of how the sausage is made to be an early adopter.