Pochi Nene ni naniii!!!?

raphaelpol

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
207
132
Huko kunako mtandao pendwa wa Instagram kumeibuka mfululizo wa picha za mwanadada murembooo wa haja anaekimbiza kweli kweli, nimejiuliza mara kadhaa huyu ni nani, ni mwanamitindo, ni video vixen, ni mcheza porn au ni nani haswa!! Anyone knowing!!!!?
 
Pochi nene si walleti yenye kushiba mpunga? Zaidi ya hapo mbwembwe tu.
 
Hiyo hapo moja ya pics za huyo pochinene
IMG-20180502-WA0016.jpg
 
aloo kama ni huyo hiyi 'box manyoya a.k.a pochi' itakuaje ..si ni zaidi ya gunia la udaga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom