Plzz help me!!!

ziandike tu kwenye google halafu uweke dot mp3 kama unataka audio..na kama ni video ingia YouTube - Broadcast Yourself. halafu uzisach utazipata....mfano wa audio andika kwenye google..samboira.mp3 zitakuja links nyingi tu za kudownload..angalia waliyoandika ni free..
 
kupata website za nyimbo za kibongo inabidi kwanzaujue wabongo wanapendelea ku upload nyimbo zao wapi.

Nimeona blogs nyingi za tanzania wana upload hulkshare nafikiri pia itakua ndio solution ya tatizo lako

Hulk Share - Music Distribution Platform

Just andika jina la nyimbo then search
 
jaribu hizi [bongomp3.xtge.com][alphonceetz.peperonity.com][ketomob.com][gkiwango.wen9.com][hulkshare.com/mxcarter]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom