Jinsi JMK alivyo i "promote" Tanzania ndani ya USA, hivi sasa tunashuhudia wimbi la Wamerekani wakija kutalii na kutumia Tanzania na baada ya muda si mrefu USA ndio itakuwa nchi ya kwanza kwa kuleta watalii wengi Tanzania. Anachonifurahisha JMK ni kuwa analenga wapi kwa watumiaji wakubwa wa fedha Merekani ambao hata wakija Tanzania hawaji kama backpackers.
JMK tija ya ziara zako Merekani na kazi njema unayoifanya tunaiona, haina shaka ndani yake. Wacha wenye vijiba vya roho wafe navyo.