Pls advice, tabia za mmewe zimemchosha...

Hakuna ndoa hapo. Huyo nmwanaume anakula beki 3 ndo maana anakuwa hivyo. Toka lini chakula cha mke kiwe kibaya? Au aliolewa mke na baba yake? Hana jipya.
 
Ni dada wa 28 years yuko na mmewe miaka miwili ya ndoa sasa ..lakini tabia za mmewe zimekuwa kero kwake.
Mwanamme amekuwa na tabia ya kupekuwa pekuwa jikoni makabati ,chumbani yeye akikaa ndani hatulii,mara atauliza mafuta ya kupikia mara hii yameisha ooh mchele mbona kipindi hiki umekaa kidogo kuvuruga makabati ya vyombo bila mpangilio..na ameshindwa kumwelewa kama yuko sawa.....
Kibaya zaidi kila dada anapopika chakula na mmewe akajua ni yeye kapika anakula na mwisho atasema chakula si kitamu,lakini kikipikwa na H/G anadai chakula cha leo kitamu..
Mkewe baada ya kuona hayo akawa anapika chakula anamwacha H/G apakue na kuandaa mezani .mme akimaliza kula anasifia kwa kujua kimepikwa na Beki tatu..Mwanzo alidhani ni kweli hajui kupika lakini baada ya kufanya mbinu hiyo ya kupika na kujifanya kama ni H/G kapika mme kusifia kabaki anashangaa.
Anadai amechoka na anataka kuikimbia ndoa hii,

Kina baba/mama msaidieni huyu mwanamama kimawazo??

NB: kwa niaba ya mwanamke mwenzangu


Naye atafute houseboy alaf awe anamsifia kila kitu...
 
hiyo ndoa imeshakufa,bado sababu tu ya kuhalalisha kifo

but huyo mume alimtoa wapi?
au waliokotana msondo ngoma nini???????????
 
Back
Top Bottom